Bifu Kali Kati ya Diamond na Clouds Media

Ni dhahiri sasa msanii wa kimataifa Diamond na brand kubwa ya radio na tv Clouds Fm, bifu la hadharani.

Hii ni kutokana na media hiyo kutopost chochote kuhusu Diamond kwa muda sasa ikiwemo hata nyimbo mpya anazokuwa anatoa. Hii ni tofauti na mpinzani wake alikiba kwan yeye huposstiwa kila mara anapokuwa na kitu kipya na kizuri kwa mashabik wake.

Mfano juzi Alikiba alipokwenda South Africa, Clouds ilipost kupia mitandao na kutuma mwakilishi aende akareport Kiba akisign na Sony

Neyo kaja Tanzania, Clouds kimyaaaa, Millard Ayo pia tofaut na tulivyozoea hutupa habari hali imekuwa tofauti, hajareport lolote kuhusiana na ujio wa Neyo wala shoo ya Diamond.

My take: Millard usipotee njia, hao wapo na wewe sasa hivi, baadaye utaondolewa kama wengime walivyowahi fanyiwa.

By Blackeye/JF

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. i believe wewe ni mwanaume wacha wivu the truth is ukweli haufichiki kiba is a king wewe kama sio wema sepetu you could have remain to simple diamond but umem etumia wema na badaa ya kujilikana through wema ukaona umefika let me tell you something be yourself wacha kutafuta umaarufu kwenye migongo ya watu King Kiba we remain to be King

    ReplyDelete
    Replies
    1. pumba sana wewe huna lolote na wivu utakuuwa

      Delete
  2. SURE MDAU. UMESEMA KWELI. MILLAD WATCH OUT!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. nyie wajinga wa huyu domo mnatapatapa kweli mnataka yeye tu ndio aweanaandikwa andikwa kila mara? kwalipi? kudengua na mademu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ndo mjinga wa kwanza na hujitambui na dai anajitambuwa utakufa maskini wewe kwa wivu wako wa kijinga

      Delete
  4. Wafanye wafanyalo binduka sikio halikataa lije kuzidi kichwa...kila kitu ni hapa hapa duniani tena tanzania wala si popote. Sisi mashabibi ambao ni raia ndo tumeamua kumuweka diamond namba moja kutokana na juhudi zake anazozionyesha kuukuza muziki wetu.......Clouds wanadhani bila sisi wananchi watakua na biashara. Kazi ya diamond na clouds zote zinawategemea raia. watakua na bifu na wasanii wangapi mbona wanatia aibu hawa clouds. Wanabifu na Jide lkn juzi mcity wakati bint wa watu anaamka tena alikua sapotedi na Kiba................sasa mm sijui hawa clouds wana matatizo gani lkn wanaweza kuharibiwa pia wasijifanye wajanja na kudhani wamefika

    ReplyDelete
  5. mbn mume panic sana ni kitu cha kawaida kabisa mbn mafanikio ya diamondi kiba hakupanic mfurahie mwenzenu wacheni majungu King Kiba tuko pamoja keep it up Mwenyezi mungu akubariki zaidi

    ReplyDelete
  6. mbn mume panic sana ni kitu cha kawaida kabisa mbn mafanikio ya diamondi kiba hakupanic mfurahie mwenzenu wacheni majungu King Kiba tuko pamoja keep it up Mwenyezi mungu akubariki zaidi

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad