Breaking News: Nyumba ya mama yake Sheikh Walidi Alhadi yateketea kwa moto

Nyumba ya mama yake Sheikh Walidi Alhadi imamu wa msikiti wa Kichangani yateketea kwa Moto jioni hii Nyumba hiyo ipo Mtaa wa Uwazani Magomeni Mapipa nyuma ya Bondeni Hotel.. Muungwana Blog inatoa pole kwa Familia ya Sheikh Walid Aihadi..
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad