Dkt. Asha-Rose Migiro anakwenda kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Peter Kalaghe ambaye amerudishwa nyumbani.
Dkt. Asha-Rose Migiro ataapishwa kesho Alhamisi tarehe 05 Mei, 2016 katika Ikulu ndogo ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Breaking News:Asha-Rose Migiro ateuliwa kuwa Balozi wa Uingereza
4
May 04, 2016
Tags
Tumechoka na sura hizo hizo kila siku kwani waliosoma hapa nchini Ni hao hao, hakuna jipya kwa serikali hii nayo
ReplyDeletemhhhh! ngachoka mie sisi wengine hamtuoni kila siku kurudisha watu wa kikwete tu., na wewe magu chagua wako acha makombo!
ReplyDeleteKama wajibi anaijua WA kuzidisha urafiki baina ya nchi zwtu mbili na kuangalia nyanja za ushirukiano WA pamoja kwa masilahi ya nchi set with equal balanced opportunity na kuwa wezesha vijana qetu kupata furusa za kimasomo na kuleta technology transfer and creation of jobs..she deserve it..naamini JPJM HACHAGUI KWA URAFIKI AU KUJJUA AU MTOTO WA MJOMBA NA SHANGAZI..ITS PERFORMANCE AND MERIT..DADA ASHA HILI NI JUKUMU WANALOKUPA WATANZANIA KWA MASILAHI YA NCHI..JPJM USIMWANGUSHE...NA USIVURUNDE
ReplyDeletehuyo bado ni dada asha au bibi asha?
ReplyDelete