Diamond na Zari Wanachepuka? Ukweli Huu Hapa

Star wa Bongo fleva Diamond Platnum akanusha juu ya stori zilizozagaa mitandaoni kuwa mpenzi wake Zarina ama mama Tiffa anachepuka na Ivan huku yeye akichepuka na video Quuen wa Ketu ya

Akizungumza na Enewz Diamond alisema kuwa hizo ni stori tu ambazo mapaparazi waliamua kuzitengeneza lakini Zari hakuwahi kuwa na uhusiano wowote na Ivan tangu awe na yeye.

mahusiano yetu ni ya kimaarufu ambayo yamempelekea hadi X wake nae pia kuwa maarufu so unapokuwa maarufu vitu vinakuwa vingi na kwa Irene wanahisi hivyo kwakua ni mzuri na kwakuwa naonekana maarufu na ninauwezo na vile pia Ray ni msanii wetu so wanahisi naweza kufanya hivyo pia.

Stori zilizozagaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii ni kuwa Zari amerudiana na mpenzi wake wa zamani na inasemekana kwa sasa Zari na Ivan wanachepuka huko South Africa wakati Mondi naye akijiachia na Irene ambae ni video Queen wa Raymond katika nyimbo ya Kwetu.

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani huwa mnakubali mpaka mambo yawe magumu ndo unasikia oooh...ilikuwa hv ukawa vile

    ReplyDelete
  2. asijidanganye Domo. kwani alimkuta Zari bikra? yeye si aliingizwa mkenge kama Katunzi.

    ReplyDelete
  3. kufa tuu na tai shingoni Dai. cku ukimchoka utatoa siri zooote za bibi vuzi.

    ReplyDelete
  4. mtu alozaanae watoto 3. than hawezi kuwa na uhusiano nae. wacha ujinga dai. kama wewe unavyomtia irnn. na yeye anatiwa pia.

    ReplyDelete
  5. Diamond ni muongooo jamaniiii ,lol...kwa penny ilikuwa hivyo hivyo!!!ooooh penny ndo my wife kumbe anachepuka na wema sepetu!!!mwishowe ukwelii ukaja julikana...yeye zari anapowekwa kwenye instragram anafikiri anapeeendwaaa kumbe ni zugga tuu hiyo ya mtoto wa Tandale..nampa pole sana hajitambuii..ni mtu mzima ovyoo!!!

    ReplyDelete
  6. hahaha tanzania bana, i du miss ma motherland, da land ya vituko daily

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad