Diamond Platnumz Alibomoa ile Nyumba yao Tandale na Kujenga Hii Mpya..Itazame Hapa

Hizi ni picha za Before na video inaonyesha After ya nyumba ya zamani ya familia ya Diamond Platnumz huko Tandale jijiini Dar es salaam.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani eee hata akijenga nyumba inayo fanana na Ikulu ya Obama is up to him,,,sisi haituhusu atoe nyimbo sie tucheze na aongeze kipato chake ale bata na familia inayo mzunguka akinya pia muandike kanya mavi ya pink,,,,nosens

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahahahha umenichekesha mie

      Delete
  2. Wooow hongera sana kwake kabisa

    ReplyDelete
  3. hiyo mpya imejificha ,mbona haionekani?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad