Gadna : Sina Ugomvi na Jide, Nimemkojoza Miaka 15

Gadna ameonekana kwenye video akiwa jukwaani akitamka hayo maneno baada ya kuulizwa kama ana ugomvi na aliyekuwa mke wake Lady Jaydee.

"Sina ugomvi na yule mtoto wa kike, nimemkojoza kwa miaka 15 "

Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.


Ninayo video ila sijui jinsi ya kuiweka.

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. haya ni matusi sisi haituhusu
    unajuwa hakuna kitu kibaya kutoa kashfa za kitandani
    je kama yeye aweke wazi shughuli kitandani ulikuwa huwezi ndo maana kakuacha utapenda
    kuwa mstraabu

    ReplyDelete
  2. Duu! Udaku.com

    ReplyDelete
  3. Wanaume washamba utawajua
    inauma kuachwa
    ulipenda achunde akiondoka kwako
    fyuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  4. Hahahaha gadna, na wewe kakukojoza

    ReplyDelete
  5. Uwiiii jamaniiii mbona kamdhalilishaa sanaaa hivi Hawa viongozi wetu wako wapiiii!!!????haya wazir wa jinsia ya wanawake na watoto Ana lipi la kusemaa!!???nape na yeye analipi la kusema!!!?basata nayo vp!!!!?mtangazaji amdhalilisha mwanamuziki mbele ya halaiki ya watu halafu vyombo vya habar vinakaa kimyaa why????yaani nchi yetu Ina majipu kila sehemu,duh sijawahi ona hivi..lol au kwa sababu yuko clouds fm???inaonekana hata viongozi wetu wa nchi ni mburulaz wanaogopa mpaka redio clouds!!!!Lady Jayddee inabidi ampeleke mahakamani Gadner ni mshenzi sanaaa!!!!inabidi amlipe fidia si sawa kulikalia kimya Jambo hilii....

    ReplyDelete
  6. Eeeh aiseee duuuh....swali je nayy alikuwa hakukojozi..maana neno umetamka kali...Ngoja tusikie jide atasemaje maana kama umetaka kumdhalilisha hv...na ulishasema huwezi kuongea ishu zake...maana ye ni public figure. ..au ndo uvumilivu umekushinda...ndoa hzi mmh

    ReplyDelete
  7. G habash unakuwa kama mtoto wa kike bro?alafu mbaya zaidi na wewe una binti mkubwa,akisoma huu ujinga wako atajisikiaje?

    ReplyDelete
  8. kitu mukide....kukojozana

    ReplyDelete
  9. Gadner hii ai Sawa!! Ni mama watoto wako baina yenu Ni heshima ..je ulipo zungumza haya ulikuwa katika hali ipi??

    ReplyDelete
  10. gadna huna akili mpumbavu wewe huwezi kumdhalilisha mkeo kiasi hicho mwanaume suluali tu wewe

    ReplyDelete
  11. huyo Gadner ni mlevi kupita kiasi pia Jide alishawahi kusema kuwa Gadner ni mlevi anakunywa kupita kiasi na ndiyo maana Gardner alitendwa akaachwa na ulevi wake, na hapo alivyomsema vibaya Jide alikuwa amelewa tila lila hakuwa mzima hapo. Gadner punguza pombe ona sasa unavyojiabisha mbele ya jamii!

    ReplyDelete
  12. Alishakuwa ameshapata ulabu lkn sikutegemea mtukamaG Habashi anaweza kutamka upumbavu kama huo

    ReplyDelete
  13. Dah,sitaki kabisa kuamini kama Bro Gadner unaweza kuongea hivyo.Kumbe umdhaniaye ndiye,siyo.Unaonekana kaka muungwana kiasi kwamba nilitaka kuja kukuomba ushauri juu ya masuala yangu binafsi kumbe wa ovyo.

    ReplyDelete
  14. Uwiii,basi Jide kavumilia mengi jamani, hili limwanaume ni fisi kajivisha ngozi ya kondooo.

    ReplyDelete
  15. KAAA SIKUTEGEMEA KAMA GADNER ANAWEZA KUSEMA MANENO MACHAFU HIVI. NAJIULIZA NI HUYU HUYU GADNER NINAYEMFAHAMU AU MWINGINE??????? BINAFSI NAONA AWETUSI WANAWEKE WOTE. NAOMBA SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE TAFADHALI.

    ReplyDelete
  16. Ni mwanaume anaye jidharalisha mwenyewe,wengi hawajiheshimu.kumdharalisha mwanamke yeyote namna hii ni wazi hata wewe hujiheshimu.unajisikia haya sababu kakuacha.hata mimi nibgekuacha.huna heshima kabisa.sijui mwanao kakuonaje.huna haya wala thamani.

    ReplyDelete
  17. i respect the guy, but not any more!!!!!

    ReplyDelete
  18. Huyu naye chizi au utoto. Ila sishangai, watu wa tanga kazi kubwa walionayo huwa ni kujififu kwa mapenzi. Ujinga mtupu.

    ReplyDelete
  19. Huyu naye chizi au utoto. Ila sishangai, watu wa tanga kazi kubwa walionayo huwa ni kujififu kwa mapenzi. Ujinga mtupu.

    ReplyDelete
  20. MSHENZI TU HUYU.UNA BINTI MKUBWA UNADHANI HATASOMA HUU UJINGA?
    UMEJIDHARIRISHA SANA.

    ReplyDelete
  21. JIDE NAE,MIAKA 15 UNAKAA LA MWANAUME WA HIVI WA KAZI GANI NA BORA MNGEZAA UKASEMA UNAVUMILIA KWA AJILI YA WATOTO.PTUUUUUUUUUUUUU!

    ReplyDelete
  22. mtu akishapata pombe anaweza kuongea au kusema kitu chochote kile siku moja nililewa sana mzazi wangu akaniuzi nikamwita kuwa yeye ni teja na mimi ni msichana wa kike nikaona nipunguze pombe

    ReplyDelete
  23. Hivi jamani hichi kiswahili kimekua hakina maana tena vp mtu anatukana na wahusika wamekaa kimya ni kuwadhalilisha wanawake na mama zetu dada zetu n.k

    ReplyDelete
  24. Yaani hata mzazi wake wa kike kamdhalilisha na dada zake shangazi zake na hata huyo girlfriend wake sijui anajisikiaje?? kaa ukijua iko siku gadner atakusema hivyo mbele za watu nakumbia wewe msichana wake wa sasa!!

    ReplyDelete
  25. Sidhani kama katukana kwani nionavyo mimi ni kwamba walikuwa wanakojozana!

    ReplyDelete
  26. Acheni mambo yenu ya kujishaua hapa. Kwani si kweli alikuwa akimkojoza? Sasa kwanini awe na Ugomvi naye? Acha kijiko kiitwe kijiko na sio sped. Na huyo mwandishi alipata alichokuwa anakitaka. Halafu kitu kingine ni kwamba huyo mkojozwa amekuwa akichonga sana ila Gadna alikuwa kimya tu anapuuzia. Binti ametunga hadi nyimbo za jashfa kwa mshikaji ila yeye kakaa kimya tu na hilo hamlioni. Gadna wala asikubabaishe mtu endelea na maisha yako kama ni ukweli ashasema

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe pia ni wa kupelekwa milembe hospital ukachunguzwe akili.

      Delete
    2. WEWE SIO MSTAARABU PIA,WATU WOTE WAMCHUKIE GADNER KWA KUMKEMEA KAFANYA VIBAYA KWA LIPI?

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad