Gigy Money: Siwezi Kumtaja Mchumba Wangu, Nitakosa Wengine

Gigy Money amethibitisha kuwa bado anataka wachumba wengine japo ana mpenzi.

Gigy ni mmoja kati ya watu walio tayari kujilipua mitandaoni kwa tukio lolote bila kujali.

Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Gigy amesema, “mimi nataka wachumba wengine nikimtaja yeye sasa wachumba wengine si wataniogopa!”

“Mwanaume wangu ni mbongo na anafikiri sana, ni mtu mkubwa sana. Kuna wavulana wazuri wewe Dullah usinitanie wewe. Mchumba wangu ni handsome lakini ana elimu sana, mpaka muda mwingine hadi kulala mnatumia elimu. Halafu mimi maisha yangu siyo elimu sana ujanja mwingi,” ameongeza.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Reli na barabara zikitumika sana na kuchakaa huwa zinafanyiwa ukarabati zinarudi katika hali yake fresh sasa tofauti na wewe binti hayo matundu yako mawili unayo waringishia wanaume leo kesho yatakuja kuchoka na kuwa nyang'anyang'nya kiasi ambacho hata nzi hatoweza kutua kwa hiyo jaribu kujirekebisha hiyo tabia yako mbovu wewe sio wa kwanza walikuwepo wengi tena wazuri wenye shape babkubwa kukushinda wewe leo hii wanalia kilio cha mbweha mdomo juu kwishney hivyo ndivyo jiji la Dar lilivyo so watch out before it's too late for you bitch

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad