Hili ndiyo jibu la Nay wa Mitego kwa wabaya wake

Nay Wamitego amewajibu watu wanaomchukulia poa.

Akiongea kwenye kipindi cha E News, kinachoruka kupitia EATV, Nay wa Mitego amewapiga dongo wanaomchukia kwa kuwaambia hafanyi muziki kwa ajili ya tuzo.

“Mimi siku zote sifanyi muziki ili nipate tuzo au nishinde tuzo hata mashabiki zangu naomba mtambue kuwa mimi sifanyi muziki kwa ajili ya tuzo,” alisema.

Saka Hela ni moja kati ya nyimbo za rapper huyo zinazofanya vizuri kwenye TV na Radio kwa sasa japo iliachiwa kwa kushtukiza

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sawa tumekuelewa ima chogo wewe hufanyi mziki ili upate tuzo ila unafanya mziki ili utukane watu! pole sana!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad