Jahazi la Simba Lazama Mbele ya Timu ya Mwadui Nakuipa Yanga Ubingwa wa Ligi ya Vodacom

Leo jioni timu ya Simba imekubali kichapo kitakatifu toka kwa timu ya Mwadui ya Shinyanga inayofundishwa na Kocha wa Zamani wa Simba Julio..Kichapo hicho cha goli moja bila goli lililofungwa na Mchezaji Jamal Mnyate Dakika ya 73 linaifanya Yanga Kutangazwa Mabigwa wa ligi ya Vodacom kwa vile hakuna timu inayoweza kufikisha point alizonazo Yanga....

Poyeni Simba....
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha wagongwe hao wamchangani tu

    ReplyDelete
  2. Hapo basiiiii, wale Simba weny maneno maneno hayaaaa semeni tena ubingwa huooooooo et Simb ndo habar ya mjini acgen kupak mafut wakat timu imeisha oza.

    ReplyDelete
  3. simba wabovu saaaaaana

    ReplyDelete
  4. simba ya Mwaka Jana aikuwa vizur ila msimu 16 hadi 17 cimba bingwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad