Akichangia kwenye bajeti ya mali asili na utalii mbunge John Heche amezungumzia operesheni tokomeza jinsi ilivochezea watu rafu na kuuawa kama wanyama.
Hapo hapo amegusia kuwa Rais wa China alipokuja Tanzania aliondoka na pembe za tembo na hii iliripotiwa na vyombo vikubwa vya habari duniani kama Al Jazeera na BBC lakini serikali haikujibu wala kuchukua hatu.
Lakini serikali hii iliwaua wananchi na kuua mifugo yao ili kutokomeza ujangiri kumbe majangiri ndio wao wenyewe
Video Hapa:
Ndo hawa watumbuliwe.watu wa ngazi za juu wanatoa vibali kwa watu wa hsl ya juu nchi nyingine. Watashirikianaje kukomesha biashara haramu
ReplyDeleteHeche!! Haya si yakuzungumzia katika bunge.. kama huna mada nyamaza..je umefikiria hii ukiianzisha itafikia wapi mwisho wake...kua kiakili na angalia whats are at stake if we peraue this..!! siasa zinahitaji umahiri na akili
ReplyDeleteHeche!! Haya si yakuzungumzia katika bunge.. kama huna mada nyamaza..je umefikiria hii ukiianzisha itafikia wapi mwisho wake...kua kiakili na angalia whats are at stake if we peraue this..!! siasa zinahitaji umahiri na akili..Tena si wewe wala wengine aliwa na madaa zinazo husu viongozi wa nchi zingine kuna mahali pa kuwasilisha hoja za aina hiyo..kama hukui uliza ili ufahamishwe/uelekezwe..Msiyo yajua munauliza laki si hivi..

ReplyDeleteHeche!! Haya si yakuzungumzia katika bunge.. kama huna mada nyamaza..je umefikiria hii ukiianzisha itafikia wapi mwisho wake...kua kiakili na angalia whats are at stake if we peraue this..!! siasa zinahitaji umahiri na akili..Tena si wewe wala wengine aliwa na madaa zinazo husu viongozi wa nchi zingine kuna mahali pa kuwasilisha hoja za aina hiyo..kama hukui uliza ili ufahamishwe/uelekezwe..Msiyo yajua munauliza laki si hivi..Uhusiano wa Kimataifa ni lazima uheshimike wakati wote kwa maslahi ya nchi mbili husika..kama unahitaji mafunzo tuko tayari kukuelewesha..kumbuka Raisi wa nchi yeyote anao uwezo wa kumzawadia Raisi mwenzake kama ukimbusho wa kukumbusha uhusiano na ushirikiano wa nchi husika..madaa umeileta siyo mahali pake kabisa..je ni kwamba unashitaki au unatuwambia Raisi anafanya biashara kuingiza faida ???

ReplyDeleteHivi huyu kichaa anajua ni jinsi gani hivyo vyombo vya habari Al Jazeera na BBC vilivyokuwa na Propaganda za kutupa. Mimi nadhani wabunge wa Tanzania bado mnahitaji kufanya research za kutosha kabla ya kuwasilisha hivyo vihojahoja vyenu feki. Mmekalia majungu tu, mnafikiria sisi Watanzania hatuwaelewi na majungu yenu. Mbunge mzima unakaa hapo Bungeni na kutoa information ambazo hazina statistics za kutosha ili uweze ku support yale unayoyasema. Halafu unajifanya eti ni Mbunge tena wa kuchaguliwa. Taarifa zako Mh.Mbunge hazina uiwano kabisa yani ni full majungu. Zimekaa hapo zinaelea elea kama samaki baharini. Jamani hawa Wabunge wetu inabidi waende shule, kwa mtindo huu hili Taifa letu la Tanzania litafika wapi?????? Mbona ni disaster dah.
ReplyDeleteMdau unayosema ni kweli tunahitaji kuwarudisha Shule au tuwe tunawapa awareness trainning... Kuzungumza mradi anataka aonekane kasimama na kutoa aliyo nayo inaweza kuiathiri nchi yetu kwa namna moja au nyingine... Sisi baada ya Uhuru nchi iliweza kuwa na sisi hatukuwaona zaidi ya hawa katika Mahospitali yetu na kati ujenzi wa maendeleo ya nchi tulifanya nao mikataba mingi na wengi wao nakumbuka walifariki wakati wanatoboa milima hiko Makambako Reli ya Tazara... leo Chege asiyeyajua haya anasema anayotaka kusema.. Inasikitisha je anajua Majefongi tulikuwa tumeyapeleaka kila mikoa na vijiji anajua yalitoka wapi?? na kivipi? nawaomba Wabunge mambo ya ushirikiano wa nchi wasiyaingize katika madaa zao kwani ziko wizara husika .. wanalolote wafate channels husika ili kupata upeo na elimu juu ya hayo.....JPJM kashika hatamu msiwe na mbinu za kuharibu... tunachotaka ni mhusiano mema na utendaji kazi mwema wa uaminifu na uadilifu na madaa zenu ziguse kila pembe ya kuleta MAENDELEO na siyo mivutano isiyo na kichwa wala miguu...Na Pamoja sana Mdau
Delete