Kauli ya Msemaji wa Yanga Baada ya Simba Kufungwa na Mwadui na Kuipa Yanga Ubingwa hii Hapa

"Tunawashukuru sana wa matopeni kwa kutubeba, hii inadhihirisha ni jinsi gani wanatupenda, bahati nzuri hata sisi tunabebeka, unajua unapobebwa, yule anayekubeba sharti achutame halafu unayebebwa unampandia juu, juu ya mgongo, Simba wametubeba kwa kutupa ubingwa"

Je, unakubaliana na kauli hii ya msemaji wa Yanga?
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo 'msema hovyo wa yanga' kaenda Nigeria kwa TB Joshua 'kuwanga' wachukue ubingwa.....hovyo......

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yanga anga nyingine wewe,kwa TB JOSHUA KAENDA WAKATI YANGA INAFANYA VIZURI,KAMA KWELI UNAAMINI HIVYO BASI ILIKUWA NI KUNOGESHA TU,SASA NENDA NA WEWE KWA TB JOSHUA TUONE KAMA SIMBA MTAPETA KIMATAIFA, KUSHANGILIA WAARABU KWA NGUVU ZOTE NI MOJA KATI YA VITU VINAVYOWATAFUNA WAMATOPENI.MASHINDANO YA KUWAFANYA NYIE MPANDE NDEGE NDIO YAMEMINYWA KWA LAANA ZENU.MTAISHIA KWENDA ZANZIBAR KWA BOTI,NA BORA MNGEACHA TU KUWEKA KAMBI Z'BAR MAANA KILA MKIENDA HUKO MKIJA MNAFANYA VIBAYA,NA MWAKANI MNASHUKA DARAJA KUDADADEKI!

      Delete
  2. nakubaliana nayo asilimia 100%! na mimi nwashukuru saanaaaa wamchangani kwa hilo!

    ReplyDelete
  3. YES!!! SIMBA NDEGE WATAZIONA ANGANI TU!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. WATAPANDA MWAKANI WATAKAPOITWA NA WAARABU KWENDA KUWASHANGILIA TENA KAMA WALIVYOFANYA MWANZO HAPA DAR.

      Delete
  4. WAMCHANGANI.

    ReplyDelete
  5. SAFIIIIIIIIIIII,YANGA HATUNA PRESHA HATA TUKIFUNGWA.
    TENA WACHEZAJI WASITUMIE NGUVU NYINGI WASIJE WAKAPATA MAJERAHA.

    ReplyDelete
  6. JERY MANENO YAKO YANACHOMA SANA.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad