Wikiendi iliyoisha imesambaa video mtandaoni ikimuonesha mtangazaji huyo akiongea kwenye tamasha alilokuwa mshereheshaji: "My name is Captain Gardner G Habash all the way from Clouds FM, Jahazi hatari sana. Na sina neno na yule mtoto wa kike. Nimeshamkojoza kwa miaka kama 15 hivi.”
Video hiyo imesababisha hasira kubwa kwa mashabiki wa Jaydee na watu wengi kwa ujumla.
“Ndg. Gardner amefanya udhalilishaji mkubwa si tu Kwa @JideJaydee bali ametukana wanawake wote. Mimi #BaloziWaWanawake namtaka aombe radhi,” ameandika mheshimiwa Kigwangalla kwenye Twitter.
“Natoa rai kwa uongozi wa @cloudsfm kumtaka Ndg. Gardner afute kauli yake na aombe radhi kwa @JideJaydee na kwa umma ili kulinda heshima yao,” ameongeza.
“Jamani, sijui ugomvi wao wala sina interest ya kujua, sema alichokisema G na nikasikia ni katika tusiyosemaga hadharani kwa heshima ya mama,” amefafanua.
“Sina maana wamchukulie hatua. Watambue tu kosa lake na wamtake kwa heshima kwa mama aombe radhi. Mimi ni mtumishi namba 2 kwenye Wizara inayosimamia ‘mambo ya wanawake’! I know what I am talking about hapa.”
Video Hii Hapa
wakati jdee kamuimba Gadna kuwa ni mwendawazimu haponi na kampeleka milembe hamkuona tusi, ila kajibiwa imekuwa issue.
ReplyDeleteUSIKURUPUKE,ALITAJA JINA GADNER NI MWENDAWAZIMU?KUMUIMBA MTU BILA KUMTAJA JINA AU KULINGANISHA MATENDO YAKE SIO TUSI WALA HUWEZI KUMSHTAKI MTU ETI KAKUTUKANA KWA WIMBO PASIPO KUTAJA JINA.G KAHUSISWA MOJA KWA MOJA KWA KUWA WIMBO ULIOPIGWA NI WA JIDE,HALAFU NDIE MKE ALIYEISHI NAE KWA MIAKA 15.
DeleteNaibu waziri anzia bungeni kwanza kwa kile kijitoto kijibunge cha ccm kilichotukana wabunge wa ukawa wanawake
ReplyDeletenusra video toa tena toa
ccm wasenge sana
ReplyDeleteCCM IMEINGIAJE HAPO WE MWENDAWAZIMU?
DeleteKumbe inauma ccm imeingia kwa sababu ni waziri toka ccm katokeo
Deleteyale ya baby bungeni hakusema
kasema hili la mtu mmoja
Magufuli una kazi
Acha ujinga utafutwa na kukamatwa au umesahau sheria za na makosa ya mtandao. Kama usenge ni mzuri basi anza wewe uone ulivyo siyo una msakizia ccm. Shwin wewe mtoto wa mtaani una baba wala mama na ndiyo maana unaandika ujinga. Nenda shule itakusaidia kuelewa mambo mengi ila mahali popote ulipo dola itakukamata sasa uone msenge nani wewe, au ccm.
ReplyDeleteKI UKWELI ANATAKIWA AADHIWE KWA KUWATUSI WANAWAKE WOTEE!!!NAWASHANGAA SANA WANAOMTETEA
ReplyDelete