Kilio cha Maisha Magumu: Je, Tulikuwa Tunategemea Vipato Haramu?

Kuna kilio cha maisha magumu kila kona. Utasikia wakina mama,wafanyakazi, vijana hata wazee wanadai kipindi hiki cha awamu ya tano pesa imekuwa ngumu sana!.

Ninajiuliza:
1:Serikali inatueleza Inazuia ufisadi, kubana matumizi yasio ya lazima, matokeo yake wananchi wanalia eti maisha yamekuwa magumu maana yake nini?

2:Makusanyo ya Kodi ya kuwahudumia wananchi yameongezeka sana lkn kilio kila kona, tatizo nini?

3:Je Maisha bora mtaani kipindi kilichopita yalikuwa matokeo ya wizi,ufisadi,matumizi mabaya ya pesa za umma na ukwepaji kodi?

4: Nasikia hotel zinakoswa wateja na taasisi nyingi zinazorota kutokana na kubana matumizi kwa serikali. Najiuliza hivi hawa jamaa walianzisha hizo taasisi/kumbi/hotel walikiwa na market strategy ya kutegemea wateja wawe serikali tu au?

5: je, unadhani nini kinakosekana ili kikiwepo Mafisadi waendelee kutumbuliwa,wakwepa kodi walipe, Gharama za maisha zishuke, Serikali iwe na pesa za kutosha, n.k na maisha ya wananchi yawe saaafi kwa matajiri na maskini kihalali? nini kinakosekana.

Najaribu kuwaza....

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Magu kaza usiachie,lipi bora mafisadi waongezeke au serikali ibane mafisadi na hela itumike kwa maendeleo ya wananchi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tumshukuru Mungu.Tumempata Kingozi Mwelewa (JPJM) na Dhamira anayo na nia Njema kwetu haina shaka. Na hatotuangusha.. Sema sisi binaadamu siku zote tukiwa katika Transition period huwa inakuwa ngumu.. JPJM ana Long term Vision.. Ni Jasiri and he is dedicated. Amini usiamini hii itejenga heshima baina yetu wajanja wajanja watakoma na kuondoa jeuri yao.. uzalendo utazidi na mapenzi na uaminifu baina yetu utakuwepo. ajili waisha yatakuwa Rahisi na ya kuweza kuyamudu katika ngazi zote.. Kinacho hitajika ni uelewa na ushirikiano wa karibu... Hii ni awamu ambayo inawacha na kutengeneza standard na footsteps ( ROAD MAP OF A GAME CHANGER IN AFRICAN LEADERSHIP) THE MAN OF ACTION AND DEDICATION. AFTER ALL HE IS A COMMONER TO PROVE THAT AMESHAKULA KWA MAMA NTILIE.. WHICH SUGGEST KWAMBA HAPA NI KAZI TUU HAKUNA MCHEZO AU KULALA... HUWEZI NJEEEEEE

      Delete
  2. Magu kaza usiachie,lipi bora mafisadi waongezeke au serikali ibane mafisadi na hela itumike kwa maendeleo ya wananchi

    ReplyDelete
  3. Nafikir jambo la msingi ni kufanya kazi na biashara na kulipa kodi stahiki kwa wafanya biashara. Kwa wafanyakaz ni kuishi maisha yanayiakisi hali zao na kuaacha maisha ya kudhani kuna kupiga deal. Ili tuifaidi hali hii kwa pamoja iko haja kwa serikali kufanya tafiti za maendeleo ya kila sekta kuzitizama changamoto zake fursa zake na kuona gaps ziko wapi na kudesign strategy za kuzitumikia ili kuleta tija kwa wananchi. Kwa wafanyakazi lazima wajifunze kufanya savings na kutumia taasis za fedha kukopa ili kujiletea maendeleo kwa kutumia kupato halali. Iko haja ya kupanua miji pamoja na kuongeza miundombinu inayostawisha ujasiriamali pamoja na kuraisisha usajili wa biashara na kujenga mufumo rafiki ya ulipaji kodi ili biashara nyingi ziweze kufunguliwa hivyo kuongeza wigo wa kulipa kodi

    ReplyDelete
  4. maelezo yako hajavaa chupi

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ndo hujavaa chupi kavae na urudi kuandika tena

      Delete
    2. Tumshukuru Mungu.Tumempata Kingozi Mwelewa (JPJM) na Dhamira anayo na nia Njema kwetu haina shaka. Na hatotuangusha.. Sema sisi binaadamu siku zote tukiwa katika Transition period huwa inakuwa ngumu.. JPJM ana Long term Vision.. Ni Jasiri and he is dedicated. Amini usiamini hii itejenga heshima baina yetu wajanja wajanja watakoma na kuondoa jeuri yao.. uzalendo utazidi na mapenzi na uaminifu baina yetu utakuwepo. ajili waisha yatakuwa Rahisi na ya kuweza kuyamudu katika ngazi zote.. Kinacho hitajika ni uelewa na ushirikiano wa karibu... Hii ni awamu ambayo inawacha na kutengeneza standard na footsteps ( ROAD MAP OF A GAME CHANGER IN AFRICAN LEADERSHIP) THE MAN OF ACTION AND DEDICATION. AFTER ALL HE IS A COMMONER TO PROVE THAT AMESHAKULA KWA MAMA NTILIE.. WHICH SUGGEST KWAMBA HAPA NI KAZI TUU HAKUNA MCHEZO AU KULALA... HUWEZI NJEEEEEE

      Delete
    3. Wewe mbona una matusi!! mbona kaeleza mpango wake mkakati vizuri kabisa halafu unamtukana!! au ndio nyie kina Anna Kabwe, ambao mmetumbuliwa lesheni inakuja inakatakata ndio unamtolea mapovu mwenzio lo!! Poyeee...

      Delete
  5. Hahahahah,wee acha tu!Bila kumung'unya jibu ni ndio.
    Nina dada/rafiki yangu alikuwa ana maisha ya juu mpaka mtaani wakamuita freemason,yeye kubadilisha muonekano wa nyumba ni kila baada ya miezi 3,nguo ndio hata nyingine hazikumbuki,lakini tangu tumbua majipu ianze naona hata kula yao ni kawaida.CHEZEA MAGUFULI UONE.
    imekuwa kawaida na inasemekana jamaa yake katumbuliwa

    ReplyDelete
  6. Tumshukuru Mungu.Tumempata Kingozi Mwelewa (JPJM) na Dhamira anayo na nia Njema kwetu haina shaka. Na hatotuangusha.. Sema sisi binaadamu siku zote tukiwa katika Transition period huwa inakuwa ngumu.. JPJM ana Long term Vision.. Ni Jasiri and he is dedicated. Amini usiamini hii itejenga heshima baina yetu wajanja wajanja watakoma na kuondoa jeuri yao.. uzalendo utazidi na mapenzi na uaminifu baina yetu utakuwepo. ajili waisha yatakuwa Rahisi na ya kuweza kuyamudu katika ngazi zote.. Kinacho hitajika ni uelewa na ushirikiano wa karibu... Hii ni awamu ambayo inawacha na kutengeneza standard na footsteps ( ROAD MAP OF A GAME CHANGER IN AFRICAN LEADERSHIP) THE MAN OF ACTION AND DEDICATION. AFTER ALL HE IS A COMMONER TO PROVE THAT AMESHAKULA KWA MAMA NTILIE.. WHICH SUGGEST KWAMBA HAPA NI KAZI TUU HAKUNA MCHEZO AU KULALA... HUWEZI NJEEEEEE

    ReplyDelete
  7. ni vizuri kalamoja wetu akachukulia kipindi hiki cha miaka miitano kama kipindi cha mfungo kwa wizala zote...

    ReplyDelete
  8. KAZA UZI KIPENZI CHETU JPJM,WACHA MAFISADI WACHONGE/WAKOME,PUMBAVU ZAO WALIZOEA KUJIFANYA MIUNGU WATU.HAPA KAZI TUUUUUUUUU!

    ReplyDelete
  9. Hii Tanzania watu hawajitumi, hasa watumishi wa serikali na ndio hao wanalipeleka Taifa kwenye hali mbaya kutwa wanawaza kuiba, kupiga panga, ufisadi. Kukwepa kodi na wanaendesha mabiashara makubwa makubwa, yaani ni mtafaruku kushikana mashati, ndio maana hasa serikali zilizopita ni taabu katika huduma za jamii uwezi ona ajabu mahospitalini hakuna dawa, wagonjwa wanalala chini, mashuleni elimu kayumba, kila kitu kinachoendeshwa na jumuiya serikali vinayumba mpka hata miundo mbinu kama barabara. Si kwa sababu ya watu wachache wanaharibu Taifa zima, Baba Magu kaza buti si wakuwaendekeza hao. Walisha kuwa kutibiwa India,south Afrika, watoto wao kusoma ulaya mmhh ni shidaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad