(KIONJO) Diamond Ft Neyo: Hakika hii ndio nyimbo

Kwa waliona jana Show ya Mwanza ya Neyo na Diamond watakuwa walisikia ule wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Neyo, bila unafiki ile nyimbo ni kali na am sure wamarekani wataipiga sana ile nyimbo kwenye Stations zao kwani Neyo kaimba kwa hisia sipati picha video itakuwaje lakini kwa nyimbo ile shikamoo Diamond.
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahaaa hakuna loloteee mxiuuuuu!!!!!nyimbo gani hiyo...ajeeee ndo habari ya mjini

    ReplyDelete
  2. mbona mbaya! makelele tuu

    ReplyDelete
  3. hii nyimbo bora asiitoe. haina maana itakosa kiki.

    ReplyDelete
  4. naona kelele tuu au xxx ndo kiki za msimu

    ReplyDelete
  5. Sijasikia chochote zaidi ya kelele tuuu...jammmnnn hata kama wimbo ni mbaya kama mavi utauona mzuri kama keki khaaa

    ReplyDelete
  6. kweli nimeamini wapambe nuksi, sio kwa povu hilo linalowatokaaaa

    ReplyDelete
  7. hii nyimbo inaingia chat za billboard

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad