KUTOKA BUNGENI:Mussa Azzan Zungu Achaguliwa Kuwa Tena Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania


KUTOKA BUNGENI: Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azzan Zungu amechaguliwa leo kuwa tena Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akitoa neno la shukrani Zungu amesema nafasi hiyo sio rahisi lakini ataitumikia kwa uadilifu tena bila kupendelea upande wowote.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Vipi kulikoni, where is Chenge?

    ReplyDelete
  2. Hilo Ni Jukumu..Utekwlezaji/ Ukemeaji Na above all Ni Nidhamu/Discipline..naUzalendo..tutakupima wewe katika usimamiaji WA hivyo la hali liende kubenana hakina Na hatutaki..siasa nyingi hapo ai mahala pale...Masilahi ya Taifa Na maendeleo ndivyo tunabyohitaji mtovu WA nidhamu..mleta skendo Na sokomoko NJE...NAhatua za nidhamu achululiwwe. ikiwemo kusimamisha posho aliyoifata Dodoma...asiye eleea mwendo Na dhamira ya utawala huu WA awamu yetu ya Tano..Aelimishwe Na Kama pia haelewi apuimzishwe ..Hapa Ni kazi tuu..Nia Ni njema mwelekeo Ni nzuri..utendaji ndiyo iko mbioni..Tunakuimbea Mungu akupe subira Na hekma katika utendaji wako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau Kweli kabisa Nidhamu haipo / Uzalendo unalega lega .. Tamaa iko mbele kuliko Maslahi ya Taifa.. Wamesha thubutu kuomba mkopo uongezwe kutoka mil 90 hadi 120Mil. Kashfa zao wenyewe kuwa ita baadhi yao Vichaa na Walevi wa Unga na Bange.. Hii inatisha..Wanaotegemewa kutunga Sheria na kupanga mikakati ya Maendeleo ya Nchi.. Hali halisi ndiyo hii... Watatuletea Nini zaidi ya Malumbano na Manchesta / Mansity/Arsinali /Yang / Swimba na hali kdhalika.. kilabu 84 na nyama Choma... Mdau umewashtukia.. Jp anakazi ya kulisafisha. Lazaidi wanataka hii iwe Laivu wauza sura... Tunawajueni.. Wajibikeni humo ndani kama mmehudhuria..

      Delete
  3. Kabla huja-publish mawazo yako hakikisha umeyahariri kwanza. Sasa hapo juu huyu jamaa yangu sijui kaandika nini au alikuwa usingizini? hovyo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa si unajua jazba..ukiambuamawili matatu tosha..anaeleweka ukisoma kwa makini Ni tachi sklini..chamsingi kipo...au wewe PIA ndio mheshimiwa..Barida mwana ngu

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad