Wabongo tumezoea kufanya mambo kiholela kwa namna hii sijui kama tutaendelea,kama watu hasa madereva wana elimu ya kutosha kuhusu matumizi ya hizo barabara za magari ya mwendo wa haraka,hatua kali zichukuliwe kwa atakaye vunja sheria za barabara hizo.
Nchi karibu zote duniani tunatumia MRT/BRT na OCen Taxis.. Tumaelimishe ndugu zetu Kafika televisheni kama tragic awareness campaign short clip Tv zote kuelimisha Jaami na Magazeti standard advert na faini PIA iwekwe na mwenye kuchunja hii sheria gari yake iwekwe kituoni kwa muda WA masaa6 hii Ni part of awareness campaign mwanzo bila faini akirudia iwe masaa 12 na faini ya 30k. Hii Ni kwa sababu huko kitu bado kigeni..tuanze kutembelea mashuleni/ nyyuoni na Billbord mabarabarani..wiki ya usalama barabarani ukimshirikisha Makonda Na Wadau na wanasanaa..Itasaidia kwa lengo la mwamusho WA watu wetu..POLENI MLIO SIBILA NA HAYA..NA IMANI MAKONDA ATAKUJA NA MIKAKATI
Wabongo tumezoea kufanya mambo kiholela kwa namna hii sijui kama tutaendelea,kama watu hasa madereva wana elimu ya kutosha kuhusu matumizi ya hizo barabara za magari ya mwendo wa haraka,hatua kali zichukuliwe kwa atakaye vunja sheria za barabara hizo.
ReplyDeleteNchi karibu zote duniani tunatumia MRT/BRT na OCen Taxis.. Tumaelimishe ndugu zetu Kafika televisheni kama tragic awareness campaign short clip Tv zote kuelimisha Jaami na Magazeti standard advert na faini PIA iwekwe na mwenye kuchunja hii sheria gari yake iwekwe kituoni kwa muda WA masaa6 hii Ni part of awareness campaign mwanzo bila faini akirudia iwe masaa 12 na faini ya 30k. Hii Ni kwa sababu huko kitu bado kigeni..tuanze kutembelea mashuleni/ nyyuoni na Billbord mabarabarani..wiki ya usalama barabarani ukimshirikisha Makonda Na Wadau na wanasanaa..Itasaidia kwa lengo la mwamusho WA watu wetu..POLENI MLIO SIBILA NA HAYA..NA IMANI MAKONDA ATAKUJA NA MIKAKATI
ReplyDeleteBongo banaaa kila kitu short kati mpaka barabarani haya sasa ngoja movie iendelee
ReplyDelete