Jana Makamu wa Rais Samoa akiwa Geita kaagiza viongozi wa serikali na kisiasa (kisiasa nadhani ni mawaziri,RC na DC) kuacha kuchukua hatua kwa watumishi bila kufuata kanuni za kazi na kusikiliza upande wa pili.
Jee huku nikufuta kauli ya Rais baada ya kuona imekwenda kinyume au ni kila mtu na agizo lake? Viongozi walioagizwa wafuate kauli ioi hapo?
By Chakaza
Suala la kipuuzi kuliza au aina ya makala kuwachapishia watu wenye akili zao wasome. Kwani Bi Samia na Maghufuli nani bosi? Kila mtu anajua sauti ya bosi ndio ya maamuzi.Kama kutumbuliwa jibu laivu bila ya ganzi kunakukera basi epukana na ufisadi.
ReplyDeleteKweli Mdau, amekkosa cha Maana. Kutuandikia anaona skendo ianzishwe vipi? Anajaribu labdfa hii italiea poa. Sasa kwa taarifa yake chakaza na Uddaku..Kwa hivi au kwa vile..MAJIPU YUTAYATOA USAHA WAKATI WOWOTE SAA YEYOTE NA MAHALI POPOTE..UKKO MWAYA..HII HAINNA SHAKA..SOTE TUNAKULOANA HIVYO NA TUMEAMUA NA TUNAFANYA HIVYO...HII NI AWAMU YA KUMTUMIKIA MTANZANIA NA KUMLETEA MAENDELEO.
Delete