Magufuli: Siwezi Kulipa Tshs Bilioni 60 za TPI Zilizoamriwa na Mahakama

Rais Magufuli amesema kuwa hatothubutu kulipa tozo ya Tshs bilioni 60 kama fidia kwa TPI kufuatia kushinda kesi mahakamani.

Tanzania Pharmaceutical Industries (TPI ) kinachomilikiwa na wadau wa tatu akiwemo mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam ndugu Ramadhan Madabida walizuiwa kufanya shughuli za uzalishaji kwa miaka minne sasa kufuatia hatia dhidi ya mfamasia wa kiwanda hicho bi Zarina Madabida za kuzalisha ARVs feki.

Hata hivyo TPI walishinda shauri hilo na kufungua kesi ya madai ambayo walishinda.

Ikiwa deni hilo litadumu tena kwa miaka miwili ijayo linaweza kuigharimu zaidi serikali.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Chura anarukaruka chura!

    ReplyDelete
  2. JAMAN!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. SIJAELEWA MTU ANATENGENEZA CONDOM FAKE HALAFU ANASHINDA KESI?????????????

    ReplyDelete
  4. Hamna lolote mpaka mahakamani nic orrupution. Wako fake kazi kupokea rushwa tu, nchi ilisha kuwa kwishinei hii, ilibaki kidogo tu ingedondokaa kabisa Tiii chalii, lingebaki jina tu la Tanzania kwa uongozi mbovu mbovu,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad