MAISHA: Uzuri wa Mke ni Tabia. Je, Uzuri wa Mume ni Nini?

Huwa nasikia mara nyingi watu wakisema na hata kuimba ni nini. Msisitizo umekuwa kuweka vigezo vya kijumla kwa mwanamke, sijaona kukiwa na msisitizo wa vigezo vya jumla kwa wanaume.

Ninajua kila mwanamke anakuwa na vigezo vyake binafsi vya kuchagua mume anayefaa.

Naomba waungwana kujuzwa endapo kuna vigezo vinavyoweza kuangaliwa na wanawake kupima uzuri wa mume.

Nawasilisha.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uzur wa mume pesa

    ReplyDelete
  2. Sahau uzur wa nwanamme atakuwa mzur kama hajakuowa soon akiwa mume wako anabadilika labda awe na izo pesa angalau utapata kutumia na wewe.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad