MAJANGA..Basi la Abiria Langia Njia ya Mwendo Kasi na Kuligonga Basi la Dart

Daladala yaacha njia yake na kuingia kwenye njia ya mabasi ya mwendo kasi na kuligonga basi la mwendo kasi lililokuwa katika majaribio...Sipati picha huyo dereva watamfanya nini....
 MAJANGA HAYA !!

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. naona dala dala na mabasi ya kawaida yana onea wivu mabasi ya kwenda kasi sababu wanajua abiria wengi watapanda mabasi ya mwendo kasi na mabasi ya kawaida yatakosa abiria hivyo mabasi ya kawaida yanafanya kila kitu ili kuwazuia mabasi ya mwendo kasi yasifanye kazi, si muda mrefu basi la kawaida lilitoka Arusha bila abiria likaja dar kugonga kwenye kituo cha mabasi ya kwenda kasi kufanya ajali, na kwa nini hilo basi lilikuja kutoka Arusha bila abiria sababu walishapanga ilikuwa set up hiyo

    ReplyDelete
  2. Hiyo ndio TZ mijitu haina uwelevu

    ReplyDelete
  3. its about time watanzania wawe waastaarabu... its obvious bado wanashangaa hayo mabasi,, mambo ni kwa maendeleo ya watu but its like tunatakiwa tubaki kulekule tulikozoea,,,,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad