Mamlaka ya Mapato (TRA) Yataifisha na Kugawa Bure Sukari Mifuko 5,319 toka Brazil Yenye thamani ya Sh 373.5 milioni

Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imegawa Sukari yote ya Magendo Mifuko 5319 yenye thamani ya Zaidi ya Shilingi Million 373.5  kwa Taasisi mbali mbali Mkoani Lindi baada ya kuthibitishwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA kuwa ni Salama kwa matumizi.

Sukari hiyo ilikamatwa mwezi Februari mwaka huu katika bandari ya Lindi ndani ya meli ya MV Hassanat ikiingizwa kinyume cha Sheria ikitokea nchini Brazil kupitia Zanzibar.

Sukari hiyo ilipaswa kulipiwa Kodi zaidi ya shilingi Million 246.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hapo mfanyabiashara atapata faida gani? kanunua mnasema thamani milion 375 hlf alipie kodi milioni Mia mbili na kitu hiyo si biashara kichaa kweli bora wafiche

    ReplyDelete
  2. hapo mfanyabiashara atapata faida gani? kanunua mnasema thamani milion 375 hlf alipie kodi milioni Mia mbili na kitu hiyo si biashara kichaa kweli bora wafiche

    ReplyDelete
  3. Fundishoo kwa wengine...unamkumbuka E.Moringe..uhujumi hatutaki kumuumiza Mtanzania kwa hali hii mishahara mnaijua..halafu mtufanyie. Haya???!!!! Labda Zama Zole lakini si awamu yetu hii...Hapa Ni kazi tuuuu. Tuko katika marudio ya ushuru lakini mpaka itakapo tokea haina maana ukwepe Na kuletea taiga hasara mfikirie Mtoto aliye kijiji Na malaria Na kukosa maji Safi..hili Ni jukumu la nani.. Tunatala Tanzania ya Maendeleo

    ReplyDelete
  4. Derick, unapotuma comment jaribu kutumia 'r' na 'l' kiusahihi: unaandika ghalama badala ya gharama, kiro(kilo), bule(bure), mala(mara)

    ReplyDelete
  5. Sio uangalie garama tu ya kununua, kama uwezi hiyo biashara achaa, wamezoea vya kunyonga tu vya kuchicha hawaviwezi, wanajifikiria wao tu ndio wapate. Na kumnyonga masikini mabepari wakubwa mtaisoma namba mwaka huu, huko vijijini kuko hoi, kwanza wala sidhani hata hiyo sukari wanaifikiria kwa maana dawa shidaaa hospital hovyo hovyo wengine hata bara bara za rami wanazisikia tu katika millennium hii jinsi kulivyochoka hizi nchi za Africa ni shidaaa na mjini imejaaa mipapa kujilumbikizia,kwa kila njia tena ikijingiza na mingine kupitia siasa, uongozi serikalini arimladi tu, purukushani kushikana mashati loooo huku kwetu dunia ya tatu na bara jeusi kama linavyoitwa ni shidaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad