Maoni ya Zitto Kabwe baada ya Rais Magufuli Kumfuta kazi Waziri Charles Kitwanga

Habari kubwa iliyoteka vyombo mbalimbali vya habari jana usiku ni habari ya Rais Magufuli Kumfuta kazi Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Charles Kitwanga

Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe ametumia ukurasa wake wa facebook kuandika mtazamo wake baada ya Rais Magufuli kufanya maamuzi hayo .

“Uamuzi wa Rais kumfukuza kazi Waziri wa Mambo ya Ndani unatuma ujumbe mmoja – hataki mchezo. Rais amethibitisha kuwa anao uwezo wa kutumbua hata aliowateua. Ni maamuzi muhimu sana kwa Kiongozi wa aina yake. Wale vijana waliokuwa wanatumwa kumtetea wasimame kumtetea. Rais kaonyesha Uongozi ‘ no nonsense “
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hapa kazi tu Watanzania mpaka tufikie malengo

    ReplyDelete
    Replies
    1. malengo yapi wewe

      Delete
    2. Unauliza malengo gani kwani wewe unaishi sayari gani au na wewe umekunywa sana

      Delete
  2. Katika watumishi wajinga huyu ndo no moja

    ReplyDelete
  3. Hii Ni hatua ambayo tunapeleka picha na mtazamo halisi when we. Say. We Mean BUSINESS rather than BUSINESS As usual..NA Tunawahakikishia kwamba We leave no stone 💎 unturned..JPJM is a man 👨 of timely decisions after evaluation na haoni haya once satisfied..tunataka WAZALENDO WAAMINIFU WAKWELI WAADILFU NA WACHAPA KAZI...HONGERA BABA TUTAFIKA..MUNGU AKULINDENI

    ReplyDelete
    Replies
    1. its about your comments, thats good i like it

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad