Mawaziri na Wabunge Wamiminika Kumpa Pole Kitwanga

Wabunge mjini Dodoma wamiminika nyumbani kwa aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani Charles kitwanga ,mawaziri na wabunge wamechukua hatua ya kwenda kumuona aliyekuwa waziri mwenzao na alisikika waziri mmoja akisema kuwa

" hili si jambo la kucheka kwani hii ni kama ajali ya kisiasa iliyomtokea mwenzetu kwani toka atenguliwe nafasi yake hayuko sawa lakini tunaimani atakuwa sawa tu, ndiyo maana tumekuja kumpa pole na kumfariji" alisikika waziri mmoja.
Tags

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. POLE SANA KITWANGA MUNGU ATAKUFANYIA WEPESI LAKINI UMEJITAKIA KWANINI ULEWE WAKATI WA KAZI TUNAKUOMBEA LAKINI KWA UAPANDE WA RAISI WETU YOKO SAHIHI KABISA HIVI KULIKUWA NA SABABU GANI ILIYOKUFANYA ULEWE ASUBUHI YOTE ILE NA HILIM NI SOMO KWA WENGINE WOTE LAZIMA MJUE SERIKALI YA AWAMU YA TANO SIO SERIKALI MLIZOZIZOEA BADILIKENI TUMEMPATA RAIS TULIYEKUWA TUNAMTAKA HAKUNA KUBEBANA RAISI TUMBUA KILA MTU ANAYEITIA DOA SERIKALI YAKOTUNAKUUNGA MKONO WALA USIRUDI NYUMA MUNGU ATAFANYA WEPESI NA PIA MWENYEZI MUNGU ALITUAGIZA KWAMBA "TIINI MAMLAKA MLIZOPEWA" SASA INAKUWAJE RAIS ANAAGIZA KITU HIKI SIKITAKI LAKINI MTU MZIMA NA AKILI YAKE4 ANAKWENDA KUKIFANYA LAZIMA ATUMBUMBULIWE NA KWA KUWA HAIJAZOELEKA HII HALI YA KUTUMBULIWA NDIO MAANA INAWAPA SHIDA WATU WATU WANAPOTUMBULIWA MARA PRESHA MARA KIZUNGUZUNGU LAKINI MJITAHIDI MLIOPEWA UONGOZI KUFANYA KAZI KWA UAMINIFU ZAMA ZINGINE HIZI

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sinema ya kihindi hiyoo jamani mko wapi nyie watanzani eboo.....

      Delete
  2. AJALI YA KISIASA!!!

    ReplyDelete
  3. HAPA KAZI TU, si wakati wa awamu ya nne hii!

    ReplyDelete
  4. faraja njema maji yameshamwagika na hayazoleki labda angekuwa yule mr kucheka pengine yangezoleka

    ReplyDelete
  5. Mawaziri na wabunge mmezoha mambo yenu ya kitoto,kama waziri huyu angelikuwa ulaya,angefukuzwa na kushitakiwa kwa kupoteza muda na pesa za watu walio mchagua. Raisi Makufuli Mungu akulinde ufanye kazi zako kama ulivyo ahidi kuwafanyia watanzania.

    ReplyDelete
  6. mnapo ambiwa pombe si chai lazima mwelewe

    ReplyDelete
  7. Mmmh hili Taifa vip? Pole ya nini? Kwani hamjui uongozi ni kazi kama kazi zingine, ukiharibu your fired, ukiba, ufisadi rushwa your fired, tatizo mambo yote hayo ndio bara letu au huku kwetu viongozi wanajiona wao ndio miungu watu, ndio maana wanafanya wanavyotaka, hasa kiongozi wa juu kama raisi akiendekeza ujinga huu, kama wa uswaiba taifa linadidimia kabisa, linakuwa la watu wachache, na waliowengi wanatabika, hhapaana hatutaki katika Tanzania letu hii tabia kabisa, mungu mmbariki raisi wetu mpendwa magufuri daima

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau kiingereza sio rahisi kiihivyo"YOU ARE FIRED"badala ya"YOUR FIRED"hakuna kizungu dizaini hiyo sorry kama nitakuwa nimekukwaza kukosoana ni aina fulani inayosaidia mtu kujifunza ili kesho hasirudie tena kosa lile nafikiri kimeeleweka au vp mdau

      Delete
  8. pole anayoewa ni yanini? kutumbuliwa au ulevi wafafanue vizuri kila mtu atavuna alichokipanda

    ReplyDelete
  9. jamani kitwanga pole mwayan ila ulikosea

    ReplyDelete
  10. tumbua na kukamua usaha ili mgonjwa apate nafuu haraka ukitumbua bila kukamua jamani

    ReplyDelete
  11. jipu lilitaka kupasuika lenyewe jamani likawahiwa kutmbuliwa

    ReplyDelete
  12. Mwambieni aache ulevi. kitwanga sio dili

    ReplyDelete
  13. Hizo pombe alilala nazo kichwani au alikunywa asubuhi? JPM alishapiga marufuku kufungua Bar na kunywa pombe asubuhi, mpaka saa 10 ifike.......ilikuwaje kwani muheshimiwa...!!! Duh! cheza na mwenye komba, usicheze na komba......UTAREWA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad