Mbunge Sugu Achague Kuongea Kiswahili au Kiingereza Bungeni Anatuchanganya

Huyu mbunge Sugu akichangia hoja huwa anachanganya kiswahili na kiingereza ili aonekane msomi.Wakati hamna kitu.Ukimsikiliza tu anavyoongea unajua ana elimu ya kuunga unga akitafuta aonekane naye yumo yumo.

Ushauri wangu achague ama aongee kiswahili au kiingereza.Lakini hicho cha kuunga unga na kuokoteza okoteza maneno ya kiingereza anatuchanganya na kutukera.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi kweli Form Four ya TZ unaweza kuongea kiingereza??? Aache kuongea lugha za kwenye BAR bungeni ni mahali pa kuheshimiwa

    ReplyDelete
  2. Bora yake yeye hatukani watu bungeni
    ni msanii huyu lazima achangamshe bunge kwani wengi mtasinzia au aingee kibena na kinyakusya ?????????????? acheni ushamba CCM

    ReplyDelete
  3. Kwani kuwa na PHD ndo sifa ya ubunge wabunge wangapi vilaza
    hata kiswahili hawajui tena Maprofessa
    Ngombe badala ya ng'ombe

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad