KATIKA matukio ambayo wanaume wa Kenya wanaoana na wanaume wenzao katika nchi zinazoruhusu jambo hilo, mwanamme mmoja wa Nakuru, Kenya, amefunga ndoa na profesa wa hisabati wa Marekani.
Bw. Ben Gitau (33) na Bw. Steve Damelin walioana wiki iliyopita huko Ann Arbor, Michigan, Marekani, Jumamosi alasiri ambapo baada ya tukio hilo wawili hao walionekana wakibusiana na kukumbatiana ambapo marafiki na wanafamilia walipiga vigelegele na kushangilia.
Hata hivyo, mshauri mmoja wa masuala ya kifamilia , Mchungaji Philip Kitoto wa International Christian Centre, Nairobi,alilaani ndoa hiyo akisema: “Kiutamaduni na kwa mujibu wa Bibilia, ndoa na kujamiiana kati ya watu wa jinsia moja ni dhambi.”
“Biblia iko wazi kwamba Mungu alituumba kwa taswira yake; mme na mke. Katika kitabu cha Mambo ya Walawi 18:22 Mungu anamwonya mwanaume kutofanya ngono na mwanaume mwenzake kama anavyofanya na mwanamke.”
Bw. Kararu Ririe, rafiki wa karibu wa wanandoa huyo ambaye ni Mkenya aliyewahi kukiri kwamba ni shoga anayeishi California, Marekani, alitume ujumbe kwenye mtandao wa twitter baada ya ndoa hiyo akiandika kwamba: “Jioni hii nilimpongeza rafiki yangu, Ben na mumewe Steve, kwa ndoa yao. Ni jambo adimu kwa Mkenya kuwa jasiri kiasi hicho. Hongera.”
Gitau alikuwa anaishi Atlanta, Georgia, kabla ya kuhamia California. Kwa mujibu wa mwanafamilia mmoja aliyezungumza na gazeti la Daily Nation, Gitau alikutana na mchumba wake huko Atlanta ambako Damelin alikuwa mwanafunzi wa shahada ya uzamivu (PhD) katika Chuo cha Teknolojia cha Georgia.
Katika kulaani tukio hilo, Mchungaji Kitoto alisisitiza kwamba tendo la ndoa kati ya mwanamme na mwanamke liliwekwa kwa ajili ya uzazi.
Ndoa za jinsia moja zilihalalishwa katika Jimbo la Michigan mwaka jana mwezi Julai na Mahakama Kuu ya Marekani iliyoondoa sheria zinazopinga ndoa za watu wa jinsia moja mradi tu wawe wanapendana.
Source: Daily Nation
Mbona hata watanzania wapo
ReplyDeleteWake kwa waume ughaibuni
Bora makaratasi
Hata bungeni wamo
Wana laana hao.
ReplyDeleteACHA WATU WAKALE USHUZI WAO RAHA KWELI NAOMBA SHERIA HII TANZANIA IPITISHWE TUOANE JINSIA MOJA
ReplyDeletenjoo tuoane mimi na wewe mi napenda mkundu sana
DeleteMUKIOANA JINSIA MOJA MBUZI WATAWACHEKA YAANI WAO WAMESTAARABIKA KULIKO NYINYI.MUOGOPENI ALIEWAUMBA KESHO MUTARUDI KWAKE .HAKUNA WAKUKUTETEA.
DeleteBora makaratasi
ReplyDeleteMh kwa kweli sasa dunia imevaa sketi khaa!
ReplyDeleteAnataka makaratasi huyo. Baada ya San Francisco hapa Atlanta kumejaa magay.
ReplyDeleteIla hizi ndoa mbona waafrica tu ndio huolewa??? Kwanini haitokei mzungu akaolewa na mwafrica??? Nawaza tu! Au njaa zetu zinatusumbua?
ReplyDeleteUjinga huu, na walaaniwe.
MUNGU tuokoe Mungu tusamehe Baba tuongoze na zaidi linda watoto wetu wakiume na wakike waongoze wakujue wewe waogope dhambi bariki matumbo yetu sisi wanawake tubebao mimba ili tuzae kilicho chema cha kukupendeza wewe Amen....
ReplyDeleteNikiona ndoa zahv huwa naishiwa maneno nabaki kuomba msamaha kwa Allah..jamn mmmh
acha wakatiane sana kwani kosa ni nini? wangekua ni wazungu watupu wala msingeshangaa , mimi naishi hapa sweden kuna wa zanzibar wengi sana ambao wlikuja kujiripua wakashindw , Plan b ikawa ni kuoana na msenge na wengi waunguja ni wasenge mbona wanaishi maisha poa tu na hakuna mtu anaeshangaa
ReplyDeleteKuishi poa unajidanganya mwenyewe.siku ukikabiliana na aliekuumba ndio utajieleza.kuwa mzanzibari sio malaika.tunachoomba wacheni kuiga mila za waliopotea.hakuna dini inaruhusu hayo.ila ni upotofu na mwisho mutarudi kwa aliewaumba mukijuta na kuingizwa motoni.pole sana ndugu kwa fikira zako potofu.
Deletehilo senge la Kiamerika linataka mbegu ya Kenya tu.lakini halibebi mimba.
DeleteAh! wewe anony 10.14 am vipiii!!! uelewi mada Mkenya ndio ameolewa hapo!! naona umelala ukiamka utaanza kulia.
ReplyDeleteHata ikiwa Mkenya ameolewa mbegu zinachanganya.anaeoa tu ndie anambegu Nenda Shule wewe .
DeleteWewe ndio nenda shule, kwa sababu huyo mkenya ndiyo jike kwahiyo atakuwa anakoj..wa kwenye ass yake sasa zitachanganywa vipi na yeye kajitolea kuwa shimo la taka taka la mzungu. Poyeeee.....
DeleteSafi sana nimeridhika na jibu lako.kwa hiyo ni uchafu mtupu
Delete