Mkuu wa Mkoa Paul Makonda Amtembelea Diamond Ofisini Kwake..Diamond Asema Haya

From @diamondplatnumz - Shukran sana sana Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam @PaulMakonda kwa kututembelea katika Office zetu za @Wcb_Wasafi jana usiku.... ujio wako Umetutia nguvu na Moyo mkubwa katika ufanisi wa kazi zetu.... Hakika wewe ni kiongozi wa pekee....Tunashkuru kwa Ushauri, muongozo wako mzuri na Muda wako wa thamani ulioupendekeza kwetu Jana!... ijapokuwa kaofisi ketu ndio kanaanza ila naamini uliona tunavyo hakikisha kudhibiti na kuzingatia USAFI Kuanzia Ofisini hadi Maeneo yatuzungukayo kama Mh Rais John Pombe na wewe Mlivyoagiza

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safi. Sana Majonda. Hamasisha Vijanna we nguvu Na nia...

    ReplyDelete
  2. maajabu leo kameitwa Kaofisi!

    ReplyDelete
  3. KIKI ZILIIPUNGUA MWEZI. SASA ZINAANZA TENA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kiki za kwako zilipungua lini?

      Delete
  4. za kwangu hutozijua sina tabia ya kujitangaza hata ukienda chooni. ndo maana mkazaliwa kwa mtogole Anony 5.38 PM

    ReplyDelete
  5. ofise hata ivan anayo tena humfikii hata ukiwanga uchi. Kiki za msimu zinaanza tena

    ReplyDelete
  6. kama haya kuhusu waweza kaa kimya pia.bt fans watapenda kupata taarifa hizo.sio kila kitu ku dis.

    ReplyDelete
  7. Mtu husifia vyake,acha wivu,sifia nawe vyako,kama limekukela kajinyonge,,DIAMOND kafurahi kwa ujio wa Mheshimiwa Makonda yawezekana ikawa mara ya kwanza kutembeleawa na uongozi wa awamu ya tano ofisini kwake,je wewe unayeponda umetembelewa na kiongozi gani ofisini kwako?inaonekana hata ofisi yako haijulikani,waachie wenzio eee

    ReplyDelete
  8. MAWIVU WENU YAACHENI JAMANI KHAA!!!

    ReplyDelete
  9. HAKUNA MWENYE WIVU TUMECHOKA NA UJINGA WAKE. HUYO MAKONDA KAMUONA JANA? AU NDO AONEKANE ANA MAIND. UJINGA HAUMTOKI. NA SIJINYONGI KWA KUMUONDA MTANDALE NA SIFA ZA KIJINGA. HANITH WEE ANONY 9.28 AM

    ReplyDelete
  10. Big Up Simba,Kazi nzur, kujituma na heshima siku zote zitakuweka karbu na watu.So Piga kaz,Kusanya MKWANJA@Diamond Platinumz De Dangote Chibu.

    ReplyDelete
  11. Ni Mikazo ya Kufa Nyau Chibu, RC Makonda good support mheshimiwa.Ushauri na kutiana moyo katika harakat ni ktu kzuri sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad