Msigwa: Serikali na Wabunge 250 Kuogopa Hotuba ya Kurasa 30 Hawawezi Kuongoza nchi

Msigwa anasema,

''Serikali imepewa mamlaka ya kuongoza nchi na inajinadi bungeni kuwa wanaongoza vizuri na wapinzani nao wanakuja kuwarekebisha kuwa hoja zao haziwezekani , sasa serikali inayosema 'hapa kazi' inayoungwa mkono na wabunge 250 wa chama cha mapinduzi inashindwa kujibu hotuba ya kurasa 34, inataka kuwaambia nini watanzania?

Je, mpo matured kuiongoza serikali? Njooni na hoja muonyeshe udhaifu wa upinzani uko wapi, muwashawishi watanzania kuwa kweli mnaweza kuongoza lakini hamuwezi kukabiliana na hoja mnaweka mpira kwapani mnataka msaidiwe na refa ,are you fit to lead this country?

Nani asiyejua mizengwe ya nyumba zilizouzwa nchi hii? nani asiyejua nchii hii ina mikataba mibovu?''

''Huyu Rais mwema ambaye anatakiwa kushangiliwa kama King Kanuti, hatakiwi kuguswa katika bunge hili?''

Msigwa anaendelea kuongea wabunge wengine wanazomea wengine wanashangilia chaos tupu.

Sikiliza hapa:


Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu Msigwa anakichaa cha mbwa hayo anayoyesemea ni pas-tense ambayo ni wimbo ni ule ule wa wapinzani nyumba ziliuzwa ohh mara kurasa 34 kutafuta kiki za kijinga wasome nyakati Magu anafanya nini ambacho ni matumaini ya kweli kwa watanzania wote wasituletee hizo siasa za kugangia njaa asiyekubali matokeo ni wapinzani watakao weka mpira kwapani Magufuli ni mziki mwingine na mnene sio saizi yenu wapinzani mtaishia kunawa

    ReplyDelete
  2. Hahahhaha msigwaaaa wape wapeee wakanyage mpka ubongo uwe wa mbuzi hahahhhha daah so funny

    ReplyDelete
  3. Watanzania xaxa wemeanza kushtuka
    Na huyu kingozi abracadabla

    ReplyDelete
  4. Watanzania xaxa wemeanza kushtuka
    Na huyu kingozi abracadabla

    ReplyDelete
  5. MCHUNGAJI SIASA ZA NINI KAMA UZIWEZI KACHUNGE KONDOOO WA MUNGU KWANI WEWE NI MCHUNGAJI WA KANISA GANI? NA WAFUASI WAKO NI AKINA NANI TUJUZE BASI MAANA UCHANGIAJI WAKO SIO KABISA KAPIME KIPIMO CHA IQ KUJUA AKILI YAKO KAMA IKO SAWA

    ReplyDelete
  6. Maswala kama hayatolewi maamuzi na kurekebishwa ni haki yarudi bungeni. Nyumba za serikali ni jipu lililokomaa. Waambie Msigwa. Richmond, T- Escrow, lugumi nk yafanyiwe kazi kiishe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEWE NAWE NI JIPU NA UNAONEKANA WEWE NA HUYO MSIGWA NI MBUMBUMBU, HIZO NYUMBA ZILISHATOLEWA UFAFANUZI NA RICHMOND IMESHATOLEWA UFAFANUZI NA KUWAJIBISHA BAADHI YA VIONGOZI, AU MWENZETU UNAKUWA AKILI YAKO UMEWEKA KWAPANI KAMA MSIGWA? WANACHI WA IRINGA WANA KERO NYINGI AMBAZO ZINAWAGUSA SASA HUYO MSIGWA KUTAKA KIKI ZA UUZWAJI WA NYUMBA HUKO IRINGA KUKO SALAMA? HAWANA KERO? NI MARA NGAPI TUNAIONA IRINGA KUPITIA RUNINGA KWAMBA HATA MAFURIKO YALIWAKUMBA MBONA HAWASEMEI WANACHI WAKE BADALA YAKE KUTAFUTA KIKI ZA KIJINGA AMBAZO MWISHO WA SIKU ATAPEWA MAJIBU SAHIHI?????? WABUNGE ONGEENI MAHITAJI NA KERO ZA WANANCHI WALIOWACHAGUA ACHENI UJINGA WA KUTAFUTA KIKI HATA WANACHI WAKO WATAKUCHOKA@MSIGWA

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad