Mwanaharakati Joyce Kiria Alia Ukata wa Fedha..Adai Kikwete Amestaafu Urais na Pesa

Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria. Ameandika kwenye page yake ya Facebook
''Dady i miss u 😭. pesa imestaafu na wewe, maisha magumu kweli, siku hizi pesa naiona kwenye taarifa ya habari, habari za biashara''

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii sasa unampakazia JK..

    ReplyDelete
  2. kwahiyo Kikwete ndiye alikuwa akimpatia fedha? akili ndogo

    ReplyDelete
  3. Na bado kudadeki mlizowea kuiba kupeana michongo ya pesa wenyewe kwa wenyewe tender mazishi kibao mkawa mnajichotea pesa tu sasa nyinyi wenyewe mmemchagua Rais anayetaka maendeleo siyo tu la kundi kama lenu(hapo juu)watu wa tender magumashu bali hata kwa yule mtanzania anayeishi kule kijijini Muleba/Bukoba naye ajisikie kuwa kuna serikali inayomuangalia na kumuhudumia matatizo yake

    ReplyDelete
  4. Joyce wacha unafiki.......mfyuuuu

    ReplyDelete
  5. Hahahahahahahahah,Afadhali tuungue wote na jua la mifukoni,mimi tangu enzi za JK mpaka sasa wakati huu wa JPJM
    najionea sawa tu,sijawahi kuwa na neema ya pesa.MAGUFULU KIBOKO

    ReplyDelete
  6. walozoe pesa za wizi na kuhongwa ndio alioadhirika haaahaaaha mfanye kazi sana namjue maskini alikuwa anaishije na shilling elfu moja kwa siku love JPM mtaisoma namba mwaka huu

    ReplyDelete
  7. Mtajutraaa, mumezowea kuunda 'vi-NGO' feki.......utakula kwa jasho...HAPA KAZI TU

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad