Mwanamuziki Diamond Atoa Ujumbe Huu kwa Zari Hassan Katika Siku ya Mama Duniani...


Ujumbe wa Diamond kwa zari (mothers day)

From @diamondplatnumz - A very Special Mother's day to this Beautiful and Humble soul of Mine @zarithebosslady ... i wish you can understand how much i love you, Mpaka natiwa Dripu😥....wenyewe wanasema kuzaa sio tija, ila kumpata Mwanamke akajua kumlea mtoto wako Vyema ndio kazi inakuwaga hapo... Shukran sana kwa zawadi hii kubwa ya Mtoto mzuri na kuendelea kumlea vizuri..... sjui na lile jipu pia Ntumbue😃.... aaagh! Anyway'z😝🙋 tutakutana Mbeleni

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unafik tuu. leo unasema kuzaa sio tija wakati ulisema maa x wako walikataa kukuzalia. huishi kubadilisha maneno kama demu.

    ReplyDelete
  2. tumbua si umezoea kutiliwa shahawa na kina Katunzi? wewe utambe una mtoto?

    ReplyDelete
    Replies
    1. ulikuwepo wakati anatilwa hizo shahawa? mbona watu mnamidomo nyie yakwenu yanawashinda kazi kufuatilia ya wenzenu.wewe ulikuwepo ukasaidia kupanua mguu ili huyo katunzi aingize hizo shahawa? hivi amewakosea nini huyu kijana wa watu unashadadia mambo ya watu pengine hata hela ya kula uijuhi hapo ulipo.

      Delete
  3. Zari hunjui Domo. akishapenda kwingine huwa anamaneno mataaamu ili usistukie issue. muulize Penny kabla hujampanulia tena. unazeeshwa kuolewa huolewi.

    ReplyDelete
  4. Zari anaonekana kuwapenda sana watoto wake wote Zari ni mfano mzuri wa kuigwa kwa wale akina mama wenye roho mbaya na watoto wao pia na wale wasiojali watoto wao, ingawa leo ni siku ya kina mama duniani, mama yangu hastaili pongezi kutoka kwangu na hala hastahili msg wala simpigii simu, kwa jinsi alivyonitesa na kunisaliti nikiwa mdogo na siwezi kumsamehe, namuelewa Diamond ameshindwa kumsamehe baba yake, vitu vingine si vya kusamehe. Tena namchukia sana mama yangu.

    ReplyDelete
  5. una laana anony 6.03 PM. na Dai woote iko cku mtaadhirika kwa radhi za wazazi wenu

    ReplyDelete
  6. Anonymous 10.06 mwenye laana ni wewe sababu hayajakukuta wewe ndiyo maana unaropoka hovyo unafikiri kwa sababu ni wazazi ndiyo hawawezi kuwa na makosa? hata kama mama alinizaaa lakini alishindwa kunilea nimelelewa na ndugu wengine leo hii nimekuwa mtu mzima anataka mawasiliano? ingawa ni mama lakini siwezi kulisamehe kamwe katika maisha yangu tena leo nina maisha mazuri najitegemea mwenyewe hapa hapa bongo na mambo yananiendea vizuri nimekua kwa tabu, lakini mwenyezi Mungu kanijalia mimi ni msichana nimejenga nyumba yangu mwenyewe na nina kazi nzuri sana. Na Diamond naweza kumuelewa

    ReplyDelete
  7. iko cku mtaokota makopo wewe na Dai.

    ReplyDelete
  8. BRAVO DIAMOND NA ZARI KAZENI BUTI WAACHENI WASEME WEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad