Msanii wa Bongo fleva Linah a.k.a ndege mnana amefunguka moja kati ya vitu ambavyo hawezi visahau katika maisha yake yote.
Akizungumza na Enewz Linna alisema kwamba moja ya kitu hicho ni tukio ambalo walilifanya yeye na mwenzie kipindi wanasoma kwani walikuwa wana tabia ya kujaribu kupiga namba tofauti tofauti ili kutafuta mpenzi.
“Nilifanikiwa kumpata mwanaume ambae nikawa ninawasiliana nae lakini siku tunaenda kuonana nae tulikutana na kitu hicho ambacho siwezi kusahau maana tulikutana na mtu ambae hatukutegemea kutokana na sauti yake ambavyo tulikuwa tukiisikia katika simu tukaamua kutojitokeza “,alisema Linna.
Mwanamuziki Linah Asimulia Jinsi Alivyotumia Simu Kusaka Mpenzi
2
May 13, 2016
Tags
alikuweje???????????
ReplyDeleteAcha umalaya mtoto mbwa koko wewe, una bahati kuna dawa ya kupunguza makali ya ugonjwa wa ukimwi mamaye
ReplyDelete