Mwanamuziki Snura Awaomba Radhi Watanzania Kwa Video ya Chura


Baada ya kufungiwa na Serikali jana, msanii Snura awaomba radhi Watanzania kwa video isiyo na maadili, ajisajili upya BASATA.

Amesema hatotoa tena video yenye maudhui ambayo sio ya kitanzania na tayari ameruhusiwa kufanya show katika majukwaa mbalimbali
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umekubali eeh?
    Kwanza ulikuwa unatoa maneno ya ujeuri,eti asiyeitaka asiangalie.
    Fyuuuuuuuuuu,hujui au ulisahau kwamba mashabiki wako tuko wa aina mbalimbali?

    ReplyDelete
  2. Snura wacha unafiki, ulikuwa unajua kabisa kwamba 'unaharibu' na ndio maana wewe mwenyewe hukucheza huo wimbo, pia ulithubutu kusema kwamba hutaki watoto wako waione.... MTU MZIMA HOVYO

    ReplyDelete
  3. Basata wanzingua kila m2 anapenda anachokipenda snurakatuwekea kwenye you tube mashabiki zake basi kibao kata kokobaiko kanga moko zifungiwe

    ReplyDelete
  4. Basata wanzingua kila m2 anapenda anachokipenda snurakatuwekea kwenye you tube mashabiki zake basi kibao kata kokobaiko kanga moko zifungiwe

    ReplyDelete
  5. Malaya mbovu

    ReplyDelete
  6. Snura mwanangu.. Tumeridhishwa Na hatua uliyochukua baada ya wewe mwemyewe kuridhika kuwa hivi sivyo Na hatuwezi kuuendelea Na mwemdo huu..tuna wadogo zetu Na wazazi wetu Na hasa vizazi nyetu amnao kwa sasa bado wako labda mikononi wanapelekwa shule za msingi au kusafiri katika mabasi Na wakuwa exposed Na vvideo clips Kama hizi je wakikuwa si watayaona Ni kawaida...halafu jichukulie Mtoto wako akikuwa Na kuja. Kuona. Mama yangu alifanya hivi wakati wa ujana wake..je utapendezewa ukimkanya labda hayo kusikiliza Na jibu atakiwa nalo ambalo itabidi. Umweleweahe lakini hayo kufahamu...Uamuzi wako Ni wa busara Na unaweza kwenda kwenye MSAMBWANDA Ukafanya lakini pale Ni watu wazima ndiyo watakao ingia Na pesa watalipa wakitoka yameishia pale pale..akhsante mwanangu

    ReplyDelete
  7. Sahivi imekuwa tabu si nyimbo si michezo hadi huna raha kutazama michezo ya kiswahili na watoto au na ndugu aibu uchafu umezidi...si kujenga ni.kubomoa tu jamiiii...masaa yote wanabusu washikane sasa mnafundisha nini aibuuuuu tupu...hizi sio mila zetu...tanzania ni stara jamaniiiii tujivunieee..

    ReplyDelete
  8. Serikali imefanya vizuri sana kuingiliaaa maana hapa ikiachiwa sasa tunakoelekea huko itakuwa zaidi ya uchafuuuuuuu...mi.najiuliza.ivi hawa watu hawana watoto hawafikiriiiiiiii wanavotunga video.zao za nyimbo au movie maneno hawachambui balaaaa pesa kitu mbayaaa sana....ukotayari uharibu taifa zima sababu ya kupata pesa au umaarufu....

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad