Nakua Kama Chizi Kwa Wivu wa Mke Wangu...

Nina mke mmoja ambae tunapendana sana tatizo ana WIVU kupindukia.


  1. Ninapoingia tu home ananidaka na kuninusa nguo,akisikia pafyum kwa mbali MATATIZO,mim situmii pafyum ila usafiri wa kwetu ni shida,mnabana hadi kupumua shida Matokeo yake sipendi watu waniguse kitu ambacho ni kigumu kwenye usafiri wa jumuiya!



  1. Kila ninapoenda anataka nitume picha kwa whatsap hata kama kwenye daladala nimesimama anataka nipenye dirishan nipige hilo eneo au nijipige kitu ambacho watu hawakubali maana wanaona unawapiga wao!Hata wakati mwingine ananiambia chukua jiwe weka sehem flani then piga picha.

Hii inanifanya nionekane chizi mbele za macho ya watu ambao hawajui kinachoendelea..Nikikataa kufanya anachotaka ananuna siku nzima na Papucha nanyimwa

,JE NIFANYEJE MAANA NAMPENDA SANA
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ah, mtu wa namna hiyo we jifanye tu kama hujali sana madai yake na usionyeshe kama unampenda sana japo unampenda. ukifanya hivyo itafikia mahala atakuzoea. we ni mwanaume kuwa na msimamo.hata kama atatishia kuondoka, we onyesha kama hujali. akiondoka atarudi tu wala usimfuatilie maana utakuwa hujamfukuza. kumbuka biblia inasema uishi na mwanamke KWA AKILI.

    ReplyDelete
  2. Hahahah uwiii

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad