Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa

Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.

Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari na utukufu wa hali ya juu kuliko hata ofisi ya rais.

Nani aligharamia ufahari huu wakati hata ikulu haijabadili muonekano? Kulikuwa na umuhimu wa kuweka ufahari huo katika kipindi hiki cha kubana matumizi?
Nini kilipungua katika ofisi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa mpaka ufahari uongezwe katika jiji ambalo limezungukwa na wananchi wenye hali ngumu na maisha yasiyoridhisha.

By iparamasa

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Afadhali hata hapa unaiona hela imetumiwa kivipi si sawa na kujazwa kwenye mifuko ya kundi furani, kila siku utasikia ifisadi na wanajengamikuru yao tu na kuirembesha kwa hela za wizi .Wanaojitia kuhoji wote ni wanafiki ndio hao wamejawapo wa lutuibia na kurembesha mikuru yao tu, huku mambo muhimu ya jamii yanabaki hoi, tiii, jamii inazidi surubika si kheli huyu kairembesha ofisi na tunaiona. Kuriko hao wanarembesha maekaru yao na hatuwaoni na isitoshe hii sio kibinafsi å natumikia tu kama kazi aliyopew, wala haiweki mfukoni mwake akaipeleka nyumbani kwake, hata akitoka inaendelea kuwepo hapo hapo ni ofisi ya jamii,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad