Ndalichako: Wanaodaiwa na HESLB tutaweka majina yao magazetini kuwashikiza kulipa

Waziri wa elimu Joyce Ndalichako amesema wana mpango wa kuweka majina ya wadaiwa na bodi ya mikopo kwenye magazeti ili kuwashinikiza walipe, amewaasa wadaiwa wakiwapo wabunge walipe ili majina yao yasiwekwe.
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi ni Serikali gani inayokwenda kuwakopesha watu ma million ya pesa bila ya kuwa na proper track records zao!????? Hii kwa kweli ni ajabu kabisa. Only in Tanzania, that's Tanzania for you. Sasa hayo ma million yote ya walipa kodi yatarudi lini!?? Halafu bila hata ya aibu Serikali hiyo hiyo inakazana na kuwakamua Wananchi Kodi ambayo hawajui hata mwisho wake ni nini.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Usishangae Mdau.. Hiyo ilikuwa ni zama za Watabiri HEWA. wakiongoza nchi Ya HEWA.. Wakati wa Machafuko Ya HEWA. Katika hali Ya MiundoMbinu HEWA Wa Mazingira HEWA na Kubuni Mikataba HEWA na wafanyakazi HEWA na Ukarabati HEWA.. na Na proper track record HEWA... Kwa hiyo sasa Umeingia utawala wa KUBANA HEWA na KUWAKOSESHA HEWA WAPENDA HEWA KATIKA NCHI YA HEWA >> UMBA MUNGU TUENDELEE KUIBANA HEWA ILI TUWEZE KUVUTA HEWA YA AFYA.. ONDOA SHAKA HIVI SASA TUNAYASHUGHULIKIA NA TIJA ITAONEKANA ... SISI PIA HATUYATAKI YALIYOPITA ... NA JPJM HATOTUANGUSHA... NDALICHAKO YUPO KAZINI NA UNAONA UWAJIBIKAJI WAKE MAMA JASIRI.

      Delete
  2. Mhariri... hapa kuna walakini... Maoni hayachapishwi??? Why!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad