Mwenyekiti wa kijiji cha Sanya Hoye, Moses Mnuo ametoa ufafanuzi wa maazimio waliyokubaliana katika kikao cha kijiji cha Sanya Hoye………
‘Tumepitisha sheria kwa mtu yeyote anayevaa nguo fupi kwa watoto wa kike ni marufuku tangu siku ile ya kikao kile, wanawake hao wanapotembea hapa usiku wana ajenda walizonazo wanafanya machafu yao kwa hiyo tutawapiga faini na hizo hela watapewa risiti’ Sikiliza Hapa
Sawa sawa hizo Ni bylaw kutusaidia kujenga utamaduni na maadili ya kitanzania .heshima itakuja na maadili yatafatwa na hata wabunge WA vizazi vijavyo watakuwa na nidhamu na maadili ..Hongera kwa uamuzi sahihi.. Haki mnayo kufanya bylaws ikiwa wazee na watu wazima ammeafiki hivyo . Nakuungeni mkono ..na nikoa na vijiji vingine inafaa kuiga mfano huu nzuri WA kimaadili nna uungwana.
ReplyDeleteHahahaa msipate tabu saana nendeni dipu kwenye uislam maana haujaacha kitu.
ReplyDeleteHongera wana Siha.. ndiyo inavyotakiwa!! mmeona mbali..leo mkiwadhibiti vijana..kesho tutakuwa na Taifa lenye maadili na heshima hata magonjwa yanayo sababishwa na uzinzi na uasherati yatapungua kama si kutoweka kabisa..Mikoa mingine pia inafaa kuiga mfano huu wa kimaadili

ReplyDelete