Ni Sahihi, Polisi Mshika Tochi Kuvaa Kiraia na Kujificha Kichakani?

Kwa mara ya kwanza nimekutana na Askari wengi sana ukitoka Arusha mpaka Bagamoyo kuna Askari kibao wanawakamata watu kwa kupima speed, uku wakiwa wamevaa kiraia, na wanapokuwa wanakupiga Toch wanakuwa wamejificha kichakani.

Pili baada ya kukupiga Toch, anakuacha unampta ndo anampigia trafiki aliyevaa sare ya kazi, na kumwambia umepita kwa speed kiasi gani na kumwambia akukamate..
 Je watu hawa wapo sahihi kisheria?

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yes wapo kisahihi kabisa yunatakiwa tufuate sheria za barabarani sio mpaka umuone askari akiwa kwenye uniform.. ukienda nchi zilizoendelea kuna hiden camera ambazo ni permanentma sehemu nyingine utaona gari ya kitaia imepaki pembeni lakini ndani kuna camera, ila ningeshauri jeshi la polisi liwape vitendea kazi zaidi kama magari na kuweka permanent hiden camera.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bosi kamera za ulaya ziko kwenye cctv na popote gari ikionekana na kusa hufuatiliwa na askari wa doria. hata hizo Gari pia kama unavyosema zinakuwa ni gari za polisi ambao wakiona kosa hukufuatlia na kukuarest mara moja. Hapo ndio watu hulipa Gharama za kufukuziwa na kisha kosa lenyewe.
      Hii ya hapa ya kujificha machakani ni uhuni acheni kuhalalisha. utaratibu nikamate na unionyeshe picha ya gari kwenye kamera na speed yangu kama issue ni speeding,.

      Delete
  2. sio sahihi pia ukiamua kumpiga vibao ni sawa kama anajali usalama wa raia hapaswi kujificha je? akigingwa na nyoka anajibu nn? wavae sale then wafanye kazi husika.

    ReplyDelete
  3. Ni sahihi, wewe kwanini ukiuke taratibu za speed barabarani, maana wale hawawezi kukusingizia. Hata kama kajificha ukiwa umetii sheria hakufanyi kitu

    ReplyDelete
  4. Ni Moja kati ya namna ya kuibia watu. Waliwahi kunikamata eneo flani nikitoka Dar kwa style hio pia. Ukikataa wanakuwambia urudi kwa aliyekukamata wakati wewe hata hujui alipo.
    wanatumia mbinu kuwa utaona usumbufu kurudi uwape pesa utembee.Huu ni uhuni, hakuna sheria ya aina hii na kama kweli ipo basi we are all crazy tanzanians.

    ReplyDelete
  5. Polisi yupo kazini wakati wowote hatakama kavaa kiraia acheni ushamba

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad