Nina Ugonjwa wa Kuiba Chupi za Wanawake..Nifanyaje Niache?

Kila nikilala na mwanamke kama kabeba chupi ya kubadili ile aliyovaa akiivua lazima nifanye manuva mpaka niondoke nayo, alafu nazitumia baadae kuvuta hisia kwenye mambo yetu ya kisabuni..
Sasa uvungu wangu chumbani umejaa chupi na nyingine zinanuka kweli...

Nafasi niweze kuacha?
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwenye shamba lako kama ulipanda magugu basi ujue kuwa wakati wa kuvuna utavuna magugu na si kinginecho wewe una walakini

    ReplyDelete
  2. Uso kuwa na haya utaiba hadi ya dada zako na mama yako mwisho.

    ReplyDelete
  3. Kama zinanuka si ufue.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad