PICHA: Mkurugenzi wa H/Singida Akirejea Nyumbani kwa Miguu Baada ya Kusimamishwa Kazi

Huyu Mheshimiwa DED akirejea nyumbani kwake kwa miguu baada ya kusimamwishwa kazi na Mkuu wa Mkoa wa Singida kwa kudaiwa kulipa mishahara hewa kwa watumishi nane na kusbabishia Serikali hasara....
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahaha ndio wakome kuifirisi nchi hii

    ReplyDelete
  2. Wakigundua hahusiki je? Huu ni udhalilishaji

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad