Picha ya Gigy Money na Mtangazaji Gadner G Habash Yazua Utata....



Mrembo Gigy Money Anaesifika kwa Bongo la Tako Bongo ameweka picha kwenye page yake ya Instagram na kuandika haya maneno:

Precioussada
 Dada jide ulifanya la maana kuondoka maana huyu sio mwanaume ni maradhi
Read more at http://websta.me//n/gigy_money#3WPzayBT2EO0rCtB.99

 Mudy_makinga 
Umekojoleshwa six months mama tukomeshe @gigy_money tem hii nww endelea kukojoleshwa naww miaka 20 ila ss mwambie akujoleshe mmelala sio mmesimama hutozaa nae nww! Take care


Gigy_money:
 Baby chukua #supu
Sinaaa tatzooo na huyu mzeeee mwenzangu amesh......... takriban miez6 @captaintanzania


Hizi Hapa ni Baadhi ya Comments:

Raymondo_soundo
Brother nahisi kama haupo sawa @captaintanzania maisha gani hata???? Basi atakama unafanya kuwe na mipaka unajizalilisha sana. Nimekumind sanaaaaaaaa

 Gstar_s 
Utakojozwa kama Jide ohoo captaaiiiiin!!@gigy_money
 mbea_wa_insta Sasa mkojoze na huyo hadi mavi yawatoke nyote wawili @captaintanzania maana mmekutana wote wacheza ngono mamae .


saraphinam4
 MLIMA KITONGA.......lol mwanaume mpenda mtelemko

nancygodwintillya 
kweli umechanganyikiwa mzee, ulivyokuwa unajiheshimu ukiwa na jide leo umefika huko

Na wewe Embu Tupia Comment yako hapo chini

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kabaaaaaaaaaangggg......stresss.com acha kabisa jahazi hatari sana...mdogo mdogo mtu atakuwa chini ya uangalizi wa doc kwa ushauri nasaha huu mchezo hautaki hasira jmn

    ReplyDelete
  2. G watandike miti tuu mpaka waisome

    ReplyDelete
  3. kuku wa kienyeji
    Shemeji yetu
    au ndo ........
    Tayari

    ReplyDelete
  4. kuku wa kienyeji
    Shemeji yetu
    au ndo ........
    Tayari

    ReplyDelete
  5. Kwa kweli huu mchezo hautaki hasira haswaaaaa.......mtoto wa kike ana tako ambalo unashindwa kuelewa akienda chooni kwenye haja kubwa kama analiosha sawa sawa ama ndio linabagia na vile vipingili vidogo vidogo vya mavi, yaani ni uvundo mtupu harufu mtido mmoja. Mtoto wa Kike kakuvalia kandambili duh hizo swagg ni hatriiiii. Huyu Baba jamani anakula stress mpaka saa hii, kuachwa kuchungu jamani hasa ukitemwa na demu aina ya Jide. Huyu Baba ni mtu wa kumuonea huruma sana tu na ni mtu wa kufanyiwa maombezi yani kimsingi amekwishnerrrr Amekwishaaaaa. Muda si mrefu mtambeba na kumpeleka katika Hospitali ya Vichaa pale Milembe. Jamani Body Language inazungumza mengi angalia hiyo sura yake ilivyo anajifanya anacheka lakini ni sura ya majonzi matupu na upweke. Dah kwa kweli Jide ulilolifanya linamuuwa huyu Baba wa watu lakini pia ni halali yake. Kwa kweli huu Mchezo ni ushuzi mtupu.........

    ReplyDelete
  6. huyu baba mzima kweli?anazeeka vibaya,i feel soryy kwa binti yake.

    ReplyDelete
  7. HAFAI KUWA MMOJA KATI YA WATANGAZAJI WA CLOUDS,SINA HATA WA KUMFANANISHA NAE KWA KWELI,
    MAANA KWA UJUMLA CLOUD MEDIA WANA NIDHAMU SANA.

    ReplyDelete
  8. GADNER KAFICHA MAKUCHA LAKINI MWISHO KAYAACHIA,SIKU ZOTE NILIKUWA NAAMINI JIDE NDIO ALIKUWA MKOROFI NA HANA NIDHAMU LAKINI HAYA UNAYOYAFANYA SASA YANATUONYESHA KWAMBA BRO.UNA MATATIZO.HIVI HUYO MWANAMKE ULINAE SASA HIVI BAADA YA KUACHA NA JIDE HUONI KAMA UNAMDHALILISHA?

    ReplyDelete
  9. hili jamaa lilikuwa kula kulala kwa jide, na baada ya kutemwa likawa limechanganyikiwa ndo maana likawa halimsemi vibaya jide likitegemea atalisaidia, lilipopata ajira tena clouds likafurahi kupita kiasi kwa sababu lilikuwa halina dili kiasi kwamba likaanza kuropoka ovyo. likijua limefika.

    ReplyDelete
  10. Acheni ujingaaaaa Kwani si kweli alikuwa anamkojoza? Watanzania wanafiki sana.

    ReplyDelete
  11. HAKUWA AKIMKOJOZA WALIKUA WANAKOJOZANA KM BABAAKO NA MAMAAKO PUMBAVUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

    ReplyDelete
  12. Maisha ya watu msiooteze nguvu kuyaingilia wakati una majanga yako. Gadner akiwa hata na wanawake kumi si yeye tu?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad