Picha za Mbunge Zitto Kabwe Akimvisha Mwanamke Pete ya Uchumba Hizi Hapa


Mwanasiasa Zitto Kabwe Ameamua kuacha ukapela, kwenye picha akionekana kumvisha pete ya ya uchumba mchumba wake anayetarajia kumuoa

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Good development ma young bro,sasa utakuwa na commitment kwa uhakika kwani naamini kwa mila zetu sisi waafrika kama ujawa na jiko jamii inakuangalia kwa mashaka makubwa. Naamini kila mtu anafahamu kuwa kuwajibika unaanzia kwenye familia yako.ukishindwa huko uweezi ku-deal na masuala ya kitaifa ambayo ni mazito zaidi. Mara nyingi sisi waafrika ukiisha kuwa najiko majukumu yanaongezeka na tunategemea hata kiwango cha participations bungeni zitapungua na ni kawaida.

    ReplyDelete
  2. Ditto mm huwa nakukubali Sana. Kwanza hunapapara ktk mambo yako. Sasa Ni wakati mwafaka WA kutudhihirishia kuwa kweli ww Ni kiongozi mahiri. Maana naamini kiongozi bora huanza kuongoza familia yake. PIA wapo viongozi ambayo walibadilika Na kuwa mizigo baada ya kuongeza majiko. Na kujikuta wakitumia mawazo ya famlilia kuongoza watu. Nakuaminia bro. Your our future presidaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sorry!mdau hapo juu ilitakiwa uandike hivi"YOU ARE OUR FUTURE"na sio"YOUR OUR"Uliteleza kidogo au enzi zako za schooling time teacher wa kimombo ulikuwa unampiga mawe nini

      Delete
    2. It is true
      I made a mistake. Not only that even the name, I typed ditto insteady of zitto. Thank you but I hope the msg was understood.

      Delete
  3. MIE JAMANI HUWA SIELEWAGI.. PETE YA UCHUMBA MAANA YAKE NI NINI????? YAANI YEYE HAOI NA YULE HAOLEWI AU SIVYO?? ... HUYU SI MBUNGE HESHIWA HANA NKE??!!

    ReplyDelete
  4. Anyway tusubiri kuona kama ataoa kweli. Maana huyu naye kwa maigizo huwaga hasomeki hasa kuhusu suala la kuoa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad