Prof. Lipumba: Uhaba wa Sukari Umesababishwa na Rais Magufuli

Akihojiwa na Mtangazaji Yvonne Kamuntu kwenye Azam News, Mchumi mbobezi hapa nchini Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema uhaba wa sukari uliopo kwa sasa nchini umesababishwa na Rais John Magufuli mwenyewe kwa kuzuia sukari ya nje kutoingizwa Nchini, ilhali viwanda vyetu havikidhi idadi inayohitajika katika uzalishaji wake.

Pia Prof. Lipumba amesema hakuna sheria inayoruhusu Serikali au Bodi ya Sukari kupanga bei ya sukari nchini hivyo ametaka siasa kuacha kutumika katika mambo serious na wafanyabiasahara wasitishwe.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MAGU KAZA BUTI HAKUNA MAFANIKIO BILA KUUMIA!!!!

    ReplyDelete
  2. huna cha kuongea kaa kimya

    ReplyDelete
  3. Siasa zingine za kipuuzi lipumbaaa haoni aibu kudanganya umma na habari hakuzisikia yamefichuliwa matani ya sukari kwenye magodown ya wahujumu uchumi kwani magufuli ndie aliye ficha sukari kwenye magodown yao

    ReplyDelete
  4. Unatakiwa at least uwe umefika high school ili kuweza kumuelewa pro @ majaliwa frederick lol

    ReplyDelete
  5. Kilichokuwa kinatakiwa kwa serikali ni ku institute control ya uagizaji wa sukari kutoka nje na si kuzuia.
    Bila kuwa na control mechanism,hii cat & mouse game kati ya wafanyabiashara na serikali itaendelea. Kwani si siri kuwa wafanyabiashara hawa walikuwa wakipata faida kubwa kupitia mradi huu,na wengine walifikia hatua ya ku import expired / rejected products.

    ReplyDelete
  6. Tanzania imepata UHURU sasa,, Enzi zetu upungufu wa sukari tungejua mapema kwani mtandao nyeti ulikuwa unarekodi uwiyano na usambazaji wa bidhaa zote muhimu kama petrol,disiel,sukari nk toka ngazi ya Tarafa,,,mnaijua Tarafa??? Hakuna ambaye angeweza kuficha bidhaa kwani serikali iliziona zikiingia na kujua zinakokwenda au ziliko siyo leo ambapo idara nyeti imekuwa politiced,,,mhhhh POLENI sana ndugu zangu

    ReplyDelete
  7. Wewe si plofesa..uko chuo gani vile?? Nataka nijalibu kumuelewa KINAGA ubaga..OMG

    ReplyDelete
  8. Huyu nae akajambe mbeleee kule

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad