Shilole ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha 5SELEKT kinachorushwa na EATV.
"Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole.
Pamoja na hayo Shilole amezungumzia suala la kuwa na ukaribu na msanii Nedy Music, na kusema kuwa msanii huyo ni rafiki yake tu na si vinginevyo. “Nedy ni mshkaji wangutu, ananifanya nismile,” alisema Shilole.
Pia Shilole amesema Jumatatu ya wiki ijayo anatarajia kuachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Say ma Name'.
analazimisha uzuri? hamfikii Wema hata kidogo.
ReplyDeleteumemuona Wema akiamka asubuhi bila wigi na make up? utakimbia utazani siyo Wema tunayemjua, na kweli Shilole ni mzuri bila make up nilishawahi kuiona picha yake bila make up
DeleteKwani akiamka michirizi inakuwa imefutika au yale makalio feki yanakuwa yamekaza kidogo @ anonymous 11:38 ? Labda ulikuwa umelewa. Shilole na Wema wote wabvu.
Deletewema anamkaga kipara bila make up tofauti na shilole anazo nywele zake mwenyewe tena nywele zake ni nzuri na ni ndefu
Deleteshilole hana michirizi mwenye michirizi ni Wema, hata kama nilikuwa nimelewa wewe ndiyo umelewa zaidi
DeletePicha zimekuchuza ndugu,,hujui hata kuangalia werembo.. @Anonymous 11:38 PM
ReplyDeletewema huwa anamkaga KIPARA NGOTO tofauti na shilole mwenye nywele ndefu na nywele nzuri Yap najua kuangalia warembo hehe tofauti na wewe unafikiria mtu anamka KIPARA NGOTO ni mrembo he he kiss my ass
DeleteWema huwa anamkaga kipara bila make up he he kwa hiyo usimfananishe wema na shilole, big up, big up shilole
ReplyDelete