SHILOLE Afunuka ""Mimi ndio Mwanamke Mzuri Bongofleva"

Msanii Shilole ambaye haishi vituko kwa mashabiki wake amejigamba kuwa kwa Bongo hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi.

Shilole ameyasema hayo leo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha 5SELEKT kinachorushwa na EATV.

"Mimi ni mwanamke mzuri without make up (bila vipodozi), unaweza ukaniamsha usingizini na nikaenda popote bila makeup, katika Bongofleva mimi ni mwanamke mzuri sana hamna anayebisha,” alisema Shilole.

Pamoja na hayo Shilole amezungumzia suala la kuwa na ukaribu na msanii Nedy Music, na kusema kuwa msanii huyo ni rafiki yake tu na si vinginevyo. “Nedy ni mshkaji wangutu, ananifanya nismile,” alisema Shilole.
Pia Shilole amesema Jumatatu ya wiki ijayo anatarajia kuachia wimbo wake mpya unaoitwa 'Say ma Name'.
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. analazimisha uzuri? hamfikii Wema hata kidogo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. umemuona Wema akiamka asubuhi bila wigi na make up? utakimbia utazani siyo Wema tunayemjua, na kweli Shilole ni mzuri bila make up nilishawahi kuiona picha yake bila make up

      Delete
    2. Kwani akiamka michirizi inakuwa imefutika au yale makalio feki yanakuwa yamekaza kidogo @ anonymous 11:38 ? Labda ulikuwa umelewa. Shilole na Wema wote wabvu.

      Delete
    3. wema anamkaga kipara bila make up tofauti na shilole anazo nywele zake mwenyewe tena nywele zake ni nzuri na ni ndefu

      Delete
    4. shilole hana michirizi mwenye michirizi ni Wema, hata kama nilikuwa nimelewa wewe ndiyo umelewa zaidi

      Delete
  2. Picha zimekuchuza ndugu,,hujui hata kuangalia werembo.. @Anonymous 11:38 PM

    ReplyDelete
    Replies
    1. wema huwa anamkaga KIPARA NGOTO tofauti na shilole mwenye nywele ndefu na nywele nzuri Yap najua kuangalia warembo hehe tofauti na wewe unafikiria mtu anamka KIPARA NGOTO ni mrembo he he kiss my ass

      Delete
  3. Wema huwa anamkaga kipara bila make up he he kwa hiyo usimfananishe wema na shilole, big up, big up shilole

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad