Spika Ndugai Msaidie Rais Magufuli kwa kuzuia walevi wasiingie Bungeni

Kwanza kabisa napenda kumpongeza Rais Magufuli kwa hatua alizochukua dhidi ya aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ya Bwana Kitwanga kwa kwa kosa la ulevi wakati wa kazi, hii imeonyesha dhahiri kuwa Rais Magufuli ni Rais wa anatembea na maneno yake ya kuwa anataka kazi tu na wala si masihala na hana simile na yeyote yule anayeleta mzaha katika kazi bila ya kujali nafasi yake ya kisiasa au ya kijamii

Ni Rais asiyetaka mchezo mchezo katika mambo yanayohusu maslahi ya taifa, Magufuli ameonyesha anaweza kufanya zaidi ya watangulizi wake katika kusimamia nidhamu na maadili serikali, ameonyesha asiyetaka uswahiba katika mambo ya uongozi wa nchi.

Watanzania kwa ujumla wetu tumsaidie Rais katika kuwatumbua walevi wengine katika maeneo yetu ya kazi pamoja na sehemu zenye huduma za kijamii kama ukienda ofisi unampokuta mlevi haraka sana yafaa kuripoti ili hatua stahiki zichukuliwe dhidi yake.

Waheshimiwa kama kitwangwa wapo wengi sehemu za kazi, na hata bungeni tuwatumbue tu bila ya kuwaonea haya kama alivyofanya Rais Magufuli ili kuwatoa wazembe na wasiowajibika ili nchi yetu isonge mbele.

Natoa rai kwa ofisi ya bunge kuweka vitaa vya utambuzi kwa wanaokunywa pombe na kuingia ndani ya bunge, bunge linapaswa kuhakikisha mheshimiwa yeyote alikunywa pombe asiingie ndani ya bunge na hapo ndipo tutakaa sawa na kudhibiti walevi maeneo ya kazi.

Haiwezikani na si halali hata kidogo waheshimiwa wetu kutufanyia dhihaka ya ulevi ndani ya bunge letu kwa kuingia wakiwa tirarila nia aibu kwa taifa,

Pia nanyi waheshimiwa hebu jiheshimuni na mjipime kwa matendo yenu, haiwezekani tunawalipe, mamilion kwa kodi zetu na magari ya bei mbaya halafu mnatufanyia uhuni haiwekani hata kidogo.

Namuomba Spika Ndugai alisimamie hili la kuhakikisha walevi hawaingii bungeni kwa kufunga vifaa vya utambuzi kwa walevi
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pia awekwe pilisi mlango kwenye lango la kuingilia bungeni awapekue kwenye mifuko yao ya mashati na suruali wengine wanakuwa wamebeba viroba na bangi wanaenda kunywea humohumo mjengoni ndio maana hakuna pointi yoyote wanayojadili ni vituko vimejaa hata imefikia hatua bunge halionyweshi live ili kuepuka aibu ya kupombeka na kubangika bungeni. shame tanzania yetu!!

    ReplyDelete
  2. Wabunge wengi wakiwa Dodoma ni kama wako holiday.. Pombe na uhuni tu. Ndio maana changudoa huhamia Dodoma wakati wa vikao vya bunge. Hiyo comedy wanayotoa ktk majadiliano ya mambo muhimu kumbe ni kwa ajili ya ulevi tu. Aibu.

    ReplyDelete
  3. : HIVI WANA CCM WENZANGU MNAYAONA HAYA?? UPINZANI WANAKIMBIA SISI TUNATAMBAA.

    Hivi mmegundua nini kwenye siasa za bungeni kwa sasa?? Tushukuru Mungu Bunge halionyeshwi Live upinzani ungetunyoosha hasa.

    Nani amesikiliza speech za wabunge wa upinzani ?? Sikiliza speech ya Lema, Sikiliza Speech ya Zito , Sikiliza Speech ya Bulaya na Mdee , sikiliza speech ya Lissu nk zina content na context ya kutosha. Ukiisikiliza unagundua watu hawa walifanya research ya kutosha kabla ya kuja kuongea.

    Wamekuna na style nyingine kabisa lakini speech za wabunge wa CCM za kutaka sanamu la Diamond au kuwa na uchungu wa kulia kisa hutaki bunge lionyeshwe live hazitaweza kuwanyima Upinzani kutamba ndani ya Bunge.

    Nakishauri chama changu haya:;

    1. Wabunge wetu wapatiwe frequent trainings juu ya namna ya kuchangia, namna ya kuandaa hoja, public speaking, and etc.

    2. Wabunge wetu wakubali kuingia gharama kuwa na vijana ambao watawasaidia kuwaandalia material za kuzungumza bungeni katika kila mada,hoja, au nafasi wanayotaka kuchangia. Hii itasaidia kuwafanya wapate mawazo mbadala, kuliko wao kudhani they can execute everything at par.

    3. Chama kiandae utaratibu wa kuwandaa wabunge wetu kuchangia kuendana na hoja au hotuba fulani.Mfano, kundi fulani lenyewe lichangie hotuba ya wizara ya habari,utalii,elimu na kundi jingine lichangie wizara ya viwanda,fedha,miundombinu,wengine wachangie katiba na sheria, ulinzi etc. Kuwepo na division of specialised parliamentarians. Mbunge huwezi kuchangia kila na kujua kila kitu cha kila wizara.

    4. Chama kiandae utaratibu wa kuwa morning briefings kuwapatia wabunge kupitia emails, whatsapp msg etc. Mbunge ajue nini kinaendelea duniani na hata ndani ya Tanzania kabla hajaingia bungeni. Na ikiwezekana wabunge wetu wapate scopes as on Military Intelligence said, wawe ahead of information. Haiwezekani wapinzani wanajua taarifa za ndani CCM tumelala. They need to be like cubs with hunger of strong desire of informations.

    5. Lazima kuwepo na utaratibu wa kufanya evening postmortem kwa wabunge tu na sio Waziri, either iwe kila siku jioni au after every two days, wakae kufanya SWOT analysis nani kakosea, nini kifanyike kesho na planning of the week. Ili kuondoa uvuvaji wa taarifa, hizi postmortem zifanyike kikanda au kimikoa. Mnaweza kujiandaa kesho tunaenda kumsema sana Kitwanga kisiasa zaidi ili kuondoa notion sisi hatuisemi serikali.

    Nahisi Chadema wanafanya haya hapa juu .......... Kwa aina hii ya wabunge tuliyonayo kama hawatasaidiwa kiuwezo mawaziri wetu watapata shida sana ya kusulubishwa na wapinzani.

    Hawa wapinzani ukisikiliza hoja zao huachi kurudia kuisikiliza tena. Hatuwezi kwenda kwa kutetea bangi iuzwe kihalali, hatuwezi kwenda kwa kulia kisa watu wanataka bunge live, Hatuwezi kwenda kwa kudai sanamu ya Diamond.

    Hatuwezi kwenda kwa mawaziri kila saa kupiga picha na kuzisambaza mitandaoni. Tunataka mkiandika huku mitandaoni mje na hoja zinazojibu matatizo ya wananchi si kila saa kusema leo nilikuwa hapa mara kesho pale. Andiken namna ya kufufua viwanda, namna ya kuwapatia ajira vijana, namna ya kufufua kilimo chetu nk.

    KWELI ITATUWEKA HURU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau... Nimesoma Rai yako! Ila imenichanganya Ulipoweza Kusema (Jinsi onavyoona wewe) Kuwa kuna content na context kwa hawa vijana wetu chipikizi tuliokuwa nao hapa Bungeni na ukaweza kuorodhesha maadhi kwa kumtaja Mdee..Zitto.. Lema na lissu Bulaya...Na wengine ambao haukuwataja pia tunawafahamu.. na pia ukaweza kubahatisha hisia/kubuni kwamba haya CDM wanayafanya.. FIKIRA NA MAONI YAKO SI MABAYA. Mimi kwa uelewa wangu juu yako ni kwamba ulikuwa na mwelekeo mmoja na ni wa uwoga na kutojiamini na kuamini kuwa unayo yaona na kufukiria ni yanamwelekeo wa siasa na siasa yenyewe ni mvutano.. mpaka umekufanya uweze kusema wapinzani wanakimbia na umenasibisha katika heading kuwa CCm wanatambaa... (Kimaumbile mwenye kukimbia - Ni aliyekuwa na mwenye kutambaa ni mdogo anaye jifundisha kutaka kusimama( Hivi haviowani) kwa hiyo kichwa na Maudhui yako haviowani( Ni uwoga unaoweza kuleta hiki kichwa au shauku ya kukuza jambo)

      mnacho kubaliana na wewe tena hii ni kwa wabunge wote ni Awareness trainning na enviromental awareness na world developing issues including Personal development kwa ajili naamini Tanzania itajengwa na sisi watanzania ni wajibu wetu kama wazalendo bila kujali siasa tuwe ni wa mwanzo katika kutaka kuona tunaijenga hata vizazi vya baadae waweze kujua kuwa wazee wetu walifanya kazi na kuwajibika ndiyo wao wakaikuta ni ni wajibu wao waiendeleze nchi kwa maadili na uaminifu na kuwajibika kila sehemu ya kazi alipo kwa ufanisi na uadilifu na roho ya UZALENDo ama hapo uliowataja hapo juu hivi sasa naona wanaanza kurudi Kinidhami lakini back track kila nikiangalia jibu napata ni waleta skendo na sokomoko ndani ya bunge na vikundi.. na wanaulizana utaleta mpya gani?? na walikuwa wanalipotosha mwelekeo mzima wa matakwa yetu sisi wananchi kwa kupoteza muda wa kufanya ya maana na kuanzisha tume hizi na zile kufatilia yaliyopo na yasiyokuwepo na manamagazeti wanatoa vichwa vya habari vikubwa vikubwa visivyo na maana wala msingi kushawishi watanzania..Umejitahidi kutupa fikra zako.. ila napenda kukuhakikishia kwamba hii awamu yetu ya tano tumeingia wakati mmoja na hawa ndugu zetu waliochaguliwa na wananchi na wananchi wamesha wajua na kuwasikia sidhani kipindi kijacho utawaona tena.. manake kura ina thamani ya kila mwananchi na wanacho taka ni maendeleo na wala siyo sera na mfumo wa siasa za chama NI KWAMBA WATAMP MCHAPA KAZI KATIKA JIMBO LAO ATAKAYE LETA MAENDELEO KWAO KUPITIA SERIKALI YETU..MAREKEBISHO YAPO NA MICHAKATO IPO INAENDELEA..SHAKA NA HOFU ONDOA NA UWOGA .. NCHI IKO KATIKA MIONO MIZURI CHINI YA MTUKUFU RAISI WETU BABA JPJM.. HATUANGUSHI NA NAKUOMBENI NYOTE TUSIMWANGUSHE ILI ATUTUMIKIE ZAIDI

      Delete
    2. Mdau... Nimesoma Rai yako! Ila imenichanganya Ulipoweza Kusema (Jinsi onavyoona wewe) Kuwa kuna content na context kwa hawa vijana wetu chipikizi tuliokuwa nao hapa Bungeni na ukaweza kuorodhesha maadhi kwa kumtaja Mdee..Zitto.. Lema na lissu Bulaya...Na wengine ambao haukuwataja pia tunawafahamu.. na pia ukaweza kubahatisha hisia/kubuni kwamba haya CDM wanayafanya.. FIKIRA NA MAONI YAKO SI MABAYA. Mimi kwa uelewa wangu juu yako ni kwamba ulikuwa na mwelekeo mmoja na ni wa uwoga na kutojiamini na kuamini kuwa unayo yaona na kufukiria ni yanamwelekeo wa siasa na siasa yenyewe ni mvutano.. mpaka umekufanya uweze kusema wapinzani wanakimbia na umenasibisha katika heading kuwa CCm wanatambaa... (Kimaumbile mwenye kukimbia - Ni aliyekuwa na mwenye kutambaa ni mdogo anaye jifundisha kutaka kusimama( Hivi haviowani) kwa hiyo kichwa na Maudhui yako haviowani( Ni uwoga unaoweza kuleta hiki kichwa au shauku ya kukuza jambo)

    3. Mdau... Nimesoma Rai yako! Ila imenichanganya Ulipoweza Kusema (Jinsi onavyoona wewe) Kuwa kuna content na context kwa hawa vijana wetu chipikizi tuliokuwa nao hapa Bungeni na ukaweza kuorodhesha maadhi kwa kumtaja Mdee..Zitto.. Lema na lissu Bulaya...Na wengine ambao haukuwataja pia tunawafahamu.. na pia ukaweza kubahatisha hisia/kubuni kwamba haya CDM wanayafanya.. FIKIRA NA MAONI YAKO SI MABAYA. Mimi kwa uelewa wangu juu yako ni kwamba ulikuwa na mwelekeo mmoja na ni wa uwoga na kutojiamini na kuamini kuwa unayo yaona na kufukiria ni yanamwelekeo wa siasa na siasa yenyewe ni mvutano.. mpaka umekufanya uweze kusema wapinzani wanakimbia na umenasibisha katika heading kuwa CCm wanatambaa... (Kimaumbile mwenye kukimbia - Ni aliyekuwa na mwenye kutambaa ni mdogo anaye jifundisha kutaka kusimama( Hivi haviowani) kwa hiyo kichwa na Maudhui yako haviowani( Ni uwoga unaoweza kuleta hiki kichwa au shauku ya kukuza jambo)

  4. Mdau hapo juu umeandika ushauri mzuri sana, ila tatizo ni utayari wao ccm.

Top Post Ad

Below Post Ad