Stori Kuhusu Ali Kiba Kutoa Wimbo Mpya Hii Hapa


Alikiba anatarajia kuachia wimbo wake mpya alioupa jina ‘Aje.’

Hajasema wimbo huo utatoka lini lakini dalili zinaonesha kuwa unaweza ukaachiwa mwezi huu.

Huo unakuwa wimbo wake mpya mwenyewe tangu aachie Lupela. Kwa sasa Kiba anafanya vizuri na wimbo aliofanya na Sauti Sol, Unconditionally Bae.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. that's King Kiba hivo ndio tunataka keep it up as I said before wewe ni wewe sauti umejaaliawa hakuna anaefikia sauti yako Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi ufikie ununapotaka keep it in your mind you are the best

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad