Swala la Sukari lisitu Sahaulishe Lugumi na Ripoti ya CAG..... Tusiwe Wepesi Wakutolewa Kwenye Reli-Henry Kilewo

Hivi ile kamati ya PAC imeishia wapi na ishu ya Lugumi? Mbona hapa pako kimya? Na tukizingatia ni ishu inayogusa jeshi letu la polisi? Hapa jipu halitumbuliki?

Nimejiuliza maswali hayo nikasema nilini Watanzania tutalazimisha Watawala wajue tumechoka na kusikia ishu zikiibuliwa na kuishia njia.... Au huko Bungeni wanaliongelea na sisi huku hatusikii wala kuona kwakuwa Bunge halipo live?

Swala la Sukari lisitu sahaulishe Lugumi na Ripoti ya CAG..... tusiwe wepesi wakutolewa kwenye Reli, Lugumi na Ripoti ya CAG imeishia wapi ama inaendeleaje?

HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA

By Henry Kilewo
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sinema bado inachezwa na masteringi, japo hufia kwenye mahindi.
    Hii habari ya sukari ni kututoa tu kwenye hoja hakuna lolote.
    Sema tu watanzania akili zao ni rahisi kuzi twist na tayari wameshahamia kwenye mziki wa sukari ule wa Lugumi ume xpire.

    ReplyDelete
  2. Nimeambiwa tumempata Raisi mtenda haki na myetezi wa wanyonge.haogopi kutumbua. Labda yuko busy sana analisomea hili ajue namba ya kulitumbua vixuri.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Weee hapo juuu, walaaa si bure, yale mambo yote yaliyokuwa yakiendelea katika uongozi uliopita corrupition kupitiliza, ulilala usingizi watu walukuwa wanajifanyia wanavyotaka ndani ya hii nchi kuvumua mihela yetu ya kodi vingizio vya mapato, mpka kupelekea kila kitu kuwa hovyo, elimu ya kayumba, dawa mahospital hamna, miundo mbinu hovyo hovyo, nchi ngapi zimepiga hatua kwa muda wa miaka 10 ilyoisha huku kwetu ziii kama si chaliii tiii kwa uongozi mbovuu , uliokuwa unanuka, weee nenda kajambe mbeleee huko, labda ni mmja wapo wa wale wa kujivumulia mihela yetu ulikuwa

      Delete
  3. Toka hapa na uchadema wako

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad