TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia

Ndugu Wilson Kabwe, aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar na baadae kusimamishwa kazi mwanzoni mwa mwezi Mei, amefariki dunia.

Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana, ila tangu awali inadaiwa alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu.
Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Poleni sana wafiwa. Tujifunze kutenda mema tukiwa hapa Duniani ili tulipwe mema huko tunakoenda.

    ReplyDelete
  2. RIP mungu awepe subra na uvumilivu wafiwa ktika kipindi hiki kigumu

    ReplyDelete
  3. Tulitoka kwa udongo tutarudi kwa dongo, Mungu amsamehe makosa yake, tumuombee na tujiombee sisi wenyewe. Amina

    ReplyDelete
  4. Hamtalisahau Daraja la Nyerere pale Kigamboni........Kwa kweli wafiwa Mungu awape Nguvu katika kipindi hiki kigumu lakini pia mkumbuke kuwa hizo dhamana za uongozi mnazopewa na Wananchi walalahoi haina maana ya kujifanya kuwa nyie ni Miungu watu hapa Duniani. Mnakalia kula rushwa halafu mnategemea mtapona.........haponi mtu hapa!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad