TAZAMA Hapa Video na Picha Jinsi Diamond na Mafikizolo Walivyotinga Bungeni Leo Asubuhi

May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz walipata mwaliko wa kuingia Bungeni Dodoma ambapo wakali hawa wapo Dodoma kwa ajili ya kuidondosha burudani Chuo kikuu Dodoma.

Tazama Video Hapa:


Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bunge la Tanzania
    Wasaniii watatuhusu nini siye
    badala ya kujadili shida zetu mnawaalika hao, nani kalipa gharama za usafiri kuja dodoma??????????????????????????????????
    CCM bwana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad