TAZAMA Hapa Video ya Jinsi Mtangazaji Gadner G Habash Alivyomzalilisha Lady Jay Dee Hadharani..

Wikiendi iliyoisha imesambaa video mtandaoni ikimuonesha mtangazaji huyo akiongea kwenye tamasha alilokuwa mshereheshaji: "My name is Captain Gardner G Habash all the way from Clouds FM, Jahazi hatari sana. Na sina neno na yule mtoto wa kike. Nimeshamkojoza kwa miaka kama 15 hivi.”

Video hiyo imesababisha hasira kubwa kwa mashabiki wa Jaydee na watu wengi kwa ujumla.

Itazame Hapa chini:

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Msenge huyu

    ReplyDelete
  2. kamjibu Jidee. mmeona kakosea ila alipoambiwa chizi haponi. na atepelekwa milembe hamkuona kama Gadna katukanwa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. ACHA UZUSHI,ALISEMEA WAPI KUWA G.NI CHIZI?

      Delete
  3. Wewe bumbavu kweli jitu zima akili hakuna

    ReplyDelete
  4. Mwanaume yoyote anafanywa utamjua kwa tabia na kubwatuka
    Pole ex shemeji yetu
    unawataka wanaotembea na ex wako
    si hivyo longa longa za nini mtaandaooni

    ReplyDelete
  5. Inaonyesha kuwa huyo demu amekumwaga wakati wewe bado unampenda sana lakini hautaki kukiri kuhusu hilo pole sana bwana mdogo maisha ndivyo yalivyo wakati mwingine kashfa/matusi siyo fresh unajidhalilisha wewe mwenyewe unaonekana mshamba ile mbaya

    ReplyDelete
  6. NIMEMCHUKIA HUYU KAKA.

    ReplyDelete
  7. WAZIRI MWENYE DHAMANA AINGILIE HILI,KAMA VILE VIDEO YA CHURA ILIVYOONEKANA KUKOSA MAADILI,NA HUYU NAE KATAMKA VISIVYO.AONYWE,NA AOMBE MSAMAHA WANAWAKE WOTE TUSIKIE KAMA.KUBWA JINGA HUYU.

    ReplyDelete
  8. Ndio tabia za watu walioziona au kupenda ukubwani zilivyo ati nimemkojoza miaka kumi na tano basi na wewe kuchu kama hukukojoa kwa hiyo mlikojozana sio ulimkojoza wacha ufala kwenda kwenye media ukatoa siri za x wako

    ReplyDelete
  9. G nimekudharau sana,kwanza inaelekea jide alikuvumilia sana kwa vituko ulivyokuwa unafanya,

    ReplyDelete
  10. NIMEKUPENDA G. ANAEANZA MMALIZE. SHWAIN.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad