TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, Imeingia Nchini Kihalali, Haitagawiwa Bure

TRA wameachia huru Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata kwa kile walichodai imeingia nchini kihalali

Sukari iliyoachiliwa ni zile tani elfu 6,757 iliyokutwa kwenye maghala Mbagala Dar es Salaam, baada ya kujiridhisha iliingizwa kihalali nchini.

My Take:

Mimi nlijua Sukari hiyo itagawiwa bure, Nashauri Serikali ipunguze Siasa katika Mambo ya Msingi. Mambo kama haya yanapunguza imani kwa Rais, Haiwezekani rais aseme Sukari itakayokamatwa igawiwe bure halafu nyie Mseme eti Sukari iliingizwa kihalali kwa kufuata taratibu zote.

Je, nani kamdanganya Rais?. Hakika Rais Magufuli anahujumiwa
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwani inshu ni kuficha sukari au uhalali wa sukari?mbona mnatuchanganya....

    ReplyDelete
  2. ulitaka igawiwe bure? unanjaa ww mpuuzi lazima sheria zifatwe hakuna kugawa sukari

    ReplyDelete
  3. Sasa hii inatuacha njia panda sisi Wananchi, kwa maana kuna mambo mawili ama matatu yanajitokeza. 1) Kufichwa kwa Sukari kulikosababisha uhaba wa hiyo bidhaa madukani kiasi cha kupelekea bei kwenda juu. 2) Sukari imeingia kihalali hapa Nchini. Kwa mujibu na kumbukumbu zilizopo Mheshimiwa Rais JPM alizungumzia hiyo adha iliyojitokeza ya baadhi ya Wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu kuificha hiyo bidhaa na kusababisha iwe adimu kiasi cha kupelekea bei kwenda juu. Sasa hilo la kuwa Sukari imeingizwa kihalali limetokea wapi tena???? Kwa sababu hakuna kumbukumbu zozote zile zinazoonyesha kuwa Mheshimiwa Rais JPM alizungumzia kuhusu kama hiyo bidhaa iliingizwa hapa Nchini kihalali ama laa. Nadhani hapa Ndugu Mwandishi una kila sababu ya kuiandika hiyo Habari kwa uiano kulinganisha na tatizo lilivyojitokeza. Kuingiza hiyo bidhaa ya Sukari kihalali hapa Nchini hakuwahalilishiii hao Wafanyabiashara walioiagiza hiyo Sukari kuificha na kusababisha mfumuko wa bei wa hiyo bidhaa. Nadhani hapo Ndugu Mwandishi ni wewe ndio unayejaribu kuipotosha jamii juu ya kile kilichojitokeza na kile ambacho Mheshimiwa Rais JPM alikisema pale Arusha.

    ReplyDelete
  4. Breaking news, magari ya jeshi yameamriwa kusomba sukari iliyokutwa kwenye maghala ya Zakaria. Anatuhumiwa kuhujumu uchumi na jumatatu anapanda kizimbani mahakama kuu.

    ReplyDelete
  5. SAKATA LA SUKARI: Mfanyabiashara Dar akamatwa akituhumiwa kuficha sukari tani 4 iliyokamatwa Kinondoni. Kiongozi wa mtaa mbaroni akidaiwa kuhongwa afiche siri. ‪#‎MwananchiLeo‬

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad